Kenya set to reap dividends from UN agency elevation

erfan

Member
Nov 20, 2011
70
17
Kenya is in line to reap vast diplomatic and economic benefits from the elevation of the United Nations Environment Programme (Unep) into a full-fledged international agency.The change in Unep’s governing structure on Tuesday received the backing of the influential European Union just a day after President Mwai Kibaki had called on the United Nation’s governing council to resolve that the ‘green’ crusader be transformed into a specialised organisation. “There is a need for change so that Unep can achieve all its objectives,” the EU commissioner for environment Janez Potocnik during a briefing at the Unep headquarters at Gigiri, Nairobi on Tuesday.
“Even without considering all the other advantages, that should be a national pride for Kenya. Politically, Kenya will have a direct link to the General Assembly of the UN making it quite a powerful force in Africa,” said EU director of internal affairs Timo Makela.

The elevation would also increase the membership of Unep from 54 countries to 193 countries.

“The status of a specialised agency will open a wide finance base for the Unep. They will now be able to raise and determine its own budget,” said Mr Makela, adding that this would benefit investors in green projects who work directly the programme.
Bd-UnitedNationsoffice.jpg

United Nations Environmental Programme, (Unep) headquarters at Gigiri in Nairobi, Kenya. Kenya is in line to reap vast diplomatic and economic benefits from the elevation of the United Nations Environment Programme (Unep) into a full-fledged international agency.

SOURCE
 
Hii article inachekesha sana.The way ilivyoandikwa utadhani Unep imepandishwa hadhi kutokana na juhudi za Mwai Kibaki! na sssa Kenya itakuwa 'very powerful in the region' kwa sababu ya hii office!

Let me say 'no OIL no power'. Unep will help your Sandwich business, that's it!
 
UNEP imeiletea Kenya faida nyingi hadi sasa, tembelea eneo la Gigiri Nairobi uone tu sehemu ya faida zake. Nadhani hata zashinda utajiri wa mafuta TZ. Oil is actually a curse for many African countries. Hivi sasa Jamhuri ya Muungano Tanzania huenda ikasambaratika kwa sababu ya OIL. Zanzibar wanasema mafuta yasiwe katika muungano, huu ndio mwanzo wa kuvunjika muungano. Kwa nini Sudan Kusini ilijetenga?
 
@erfan, naomba nitofautiane na wewe kidogo. Historically Kenya imekuwa home to many UN agencies kwa ukanda huu wa Africa. Hata hiyo UNEP imekuwa Kenya kwa muda mrefu (at a lower level) na kwa miaka kadhaa Prof Anna Tibaijuka alikuwa ndiye in-charge (in addition to her other role ya UN-Habitat). But one thing is clear, UN presence in Kenya did little to stop the 2008 massacre! As a matter of fact ni Tanzania na u-junior wake ndio waliwapa shavu!

Yes, nakubaliana na hoja yako kwamba OIL imekuwa a curse to many African countries. But UN has been never been an angel either! Na kwa upande wa Tanzania we may be lucky kwa sababu mafuta haya yanaanza kuchimbwa wakati walau watanzania wengi wamepata elimu ya uraia. Wazungu wana tabia ya -divide & rule na kwa nchi za Afrika zilizoanza kuchimba mafuta mara tu baada ya uhuru zimejikuta kwenye very weak position. Kama taifa halijasimama halafu ukaleta mabeberu basi tegemea mtafaruku.

Pamoja na mapungufu yake naweza kusema Tanzania inayo nafasi nzuri (relatively better) ya kufaidi na mafuta yake. Lakini hii inatasadiwa sana na uwepo wa katiba mpya itakayowapa wananchi mamlaka zaidi ya kuwawajibisha viongozi wake. Ndio sababu elimu ya uraia ni muhimu maana inawapa watu nafasi ya kudai/kuchangia upatikanaji wa katiba mpya iliyo bora - inayosimamia rasilimali vizuri.

Hata hivyo sikubaliani na hoja kuwa eti presence ya UN ina faida kuliko Oil! How? Kibera & co has been there dispite the endless list of UN-agencies in Kenya! Na kama hizi UN agencies hazijaondoa umaskini (gap kati ya tajiri na maskini Kenya ni kubwa kuliko Tanzania) then UNEP itasaidiaje? UN ni wasanii tu wale, watu wa warsha na makongamano ndio maana nikasema UNEP itakuwa na manufaa kwa wauza sandwich.Libya UN ilipiga kelele, kwa nini wasifanye hivyo Syria? Kuna tofauti gani kati ya hizi nchi mbili? (OIL).

Na kuhusu kusambaratika kwa watanzania - it is not that simple despite the 'fanfare'. Na mafuta hayako Zanzibar peke yake, yanapatikana pia upande wa Tanganyika. Nimalizie, it is not impossible kwa Tanzania kusambaratika lakini sio rahisi ki-hivyo!
 
along coastline kubwa ya mainland oil ipo na bado kwa ndani hadi huko kilosa ni mafuta 2 nyie na ma UN yenu hongereni
 
Kwa kweli naona facts hauna, TZ na utajiri wake wa dhahabu imefika wapi? Nina uhakika kuwa utajiri wa gesi na mafuta utaitumbukiza TZ katika masaibu zaidi na hata mwisho haitakuwa TZ itakuwa TK na hiyo yenye haina mwisho mwema. Kenya haina mafuta wale gesi, lakini ndio uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki na ya Kati. Tizama orodha ya World Poorest Countries utaona nchi kadhaa za Afrika zenye utajiri wa mafuta.
 
erfan masahibu ya Tanzania zinaifanya kuwa better off?? What about famine in your northern Kenya, how has the UN helped you. Wakenya wengi bado ni maskni wa kutupwa, mbaya zaidi ni kwamba wengi mna njaa kali.
 
Kwanza zijasema mimi ni Mkenya. Ni kweli Kenya kuna famine lakini UN imesaidia sana. Tatizo kubwa ni usimamizi mbovu na wakimbizi kutoka Somalia na hilo ni tatizo ambalo dunia inapaswa kulishughulikia. Tanzania Bara au Tanganyika kuna watu wengi sana wana njaa lakini vyombo vya habar 'Bongo' vimelala na vimebakia kumsifu JK na wenzake. Kungekuwa na Dynamic media ufisadi mkubwa TZ ungefichuliwa. Soma makala hii kuhusu Njaa kali TZ. Yamkini waishi Dar lakini takwimu zaonyesha kuwa asilimia 90 ya Watanganyika walio na njaa hawaishi mijini.
 
erfan heshima mbele!

Mimi nadhani hoja yako ingekuwa.. presence ya UN Agencies means "more opportunities to Kenyans". Ajira kidogo, dola kadhaa zitaingia kwenye mzunguko, biashara ya hapa na pale (sukuma wiki zitanunuliwa zaidi) n.k

Hayo mengine ya kuwa elevated kidiplomasia ni sarakasi za kawaida. Tanzania used to be a preferred reference on international diplomacy back in the days hata bila kuwa makazi ya kudumu ya hizo UN agencies..
 
  • Thanks
Reactions: FJM

nakubaliana kabisa kwamba TZ ina matatizo yake, ya kijamii, kisiasa, uchumi na ki utamaduni..point yangu kuwa Kenya pia si shwari, hali zao mbaya na Si Mkenya atakuja kutatua matatizo ya nchi hii. Post nyingi za wakenya zinaleta picha kuwa hali ni nzuri kule Kenya, na TZ is a hell. But we know Kenya, labda ningekuwa sijafika!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwanza zijasema mimi ni Mkenya. Ni kweli Kenya kuna famine lakini UN imesaidia sana. Tatizo kubwa ni usimamizi mbovu na wakimbizi kutoka Somalia na hilo ni tatizo ambalo dunia inapaswa kulishughulikia. Tanzania Bara au Tanganyika kuna watu wengi sana wana njaa lakini vyombo vya habar 'Bongo' vimelala na vimebakia kumsifu JK na wenzake. Kungekuwa na Dynamic media ufisadi mkubwa TZ ungefichuliwa. Soma makala hii kuhusu Njaa kali TZ. Yamkini waishi Dar lakini takwimu zaonyesha kuwa asilimia 90 ya Watanganyika walio na njaa hawaishi mijini.

kama ni suala la ku please na brettton wood institutions, nenda hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...ye-uchumi-imara-ripoti-ya-benki-ya-dunia.html, hayo yapo mengi sana!
 
Kwanza zijasema mimi ni Mkenya. Ni kweli Kenya kuna famine lakini UN imesaidia sana. Tatizo kubwa ni usimamizi mbovu na wakimbizi kutoka Somalia na hilo ni tatizo ambalo dunia inapaswa kulishughulikia. Tanzania Bara au Tanganyika kuna watu wengi sana wana njaa lakini vyombo vya habar 'Bongo' vimelala na vimebakia kumsifu JK na wenzake. Kungekuwa na Dynamic media ufisadi mkubwa TZ ungefichuliwa. Soma makala hii kuhusu Njaa kali TZ. Yamkini waishi Dar lakini takwimu zaonyesha kuwa asilimia 90 ya Watanganyika walio na njaa hawaishi mijini.

@erfan, Tatizo la chakula liko Africa nzima both Tanzania & Kenya included. Lakini sehemu nyingi tatizo sio tu uzalishaji wa chakula bali DISTRIBUTION. Usafiri from point A to B ni one of the major issues huku Africa. Hata hivyo the severity ya njaa Tanzania ni cha mtoto ukilinganisha na Kenya. Hakuna cha Dynamic media wala silent media, Northen Kenya kuna njaa beyond words! Serikali ya Kenya imekuwa na jitahada nyingi sana kugawa chakula lakini kwa hakika hili ni tatizo la muda mrefu maana ukanda huu unakumbwa na ukame wa hali ya juu. Na mara tu hizo 'dynamic media' zinapozongwa na politics wahanga wanasahaulika.

Hoja uliyotoa kwamba "usimamizi mbovu na wakimbizi kutoka Somalia na hilo ni tatizo ambalo dunia inapaswa kulishughulikia na dunia" ni ya kujadili. Kenya sio nchi ya kwanza kuwa na wakimbizi wengi Africa. Hadi 2006 Tanzania ilikuwa inaongoza Africa nzima kwa ku-host wakimbizi wengi. Over a million people wengi wakiwa wanatoka Burundi, Rwanda na Zaire (sasa DRC). Idadi ya wakimbizi imeanza kupungua toka 2007. Na ukumbuke wakimbizi Tanzania wamekuwepo tangu early 1970s!

Kwenye red: Zaidi ya 80% ya watanzania wanaishi vijijini so hiyo makala is just stating the obvious!
 
mambo ya kusisitiza kwamba kenya tuna njaa kali. ni nini unaeza fanya ikiwa ukame iko afrika. 1984 Kenya ilishawahi kupigwa na ukame kali. Kwahivyo, mtu anasititiza juu ya ukame. Jibu ni watu walipata misaada mbali na wengine kufa. Lakini njaa sio tu changamoto africa, kuna mengi mengine. Haya mashirika ya misaada, lengo lao si kumaliza hizi vitu. Maombi yao ni kuendelee kuaribika wakae humu wakifanya kazi za misaada. La msingi huwa, hawataki kushirikiana na Serikali, wala raia wa kawaida, wanataka kufanya vitu there way. Serikali ya kenya imewahost wakimbizi wengi siku nyingi. Dhana ilikuwa kwa muda huo wote, wangepata suluhisho, lakini bado.

Sasa vyombo vya habari pia zinaeza kuzembea kupeperusha habari tuseme. For the case of Tanganika people kukaa njaa ni jambo la kukosa kutuma waakilishi katika hizo sehemu ambayo si kitu chema. Siasa za mainstream utakuta wanafaidika sana na raia wa mashinani lakini hawajali maswala yao. Our media saa zingine zinaeza focus too na mambo ovyo za mijini, miundo mbinu, mijengo, waekezaji, uchumi na mashinani naye kunaungua.
 
erfan heshima mbele!

Mimi nadhani hoja yako ingekuwa.. presence ya UN Agencies means "more opportunities to Kenyans". Ajira kidogo, dola kadhaa zitaingia kwenye mzunguko, biashara ya hapa na pale (sukuma wiki zitanunuliwa zaidi) n.k

Hayo mengine ya kuwa elevated kidiplomasia ni sarakasi za kawaida. Tanzania used to be a preferred reference on international diplomacy back in the days hata bila kuwa makazi ya kudumu ya hizo UN agencies..

Research iliyofanywa na Financial Times ; 15-Jan-2000 ilionyesha kuwa The United Nations in Kenya brings in more foreign exchange than horticulture, tourism, coffee or petroleum products, an analysis of the organisation's operations in East Africa has revealed. In 1998, direct and indirect benefits to the country amounted to more than Dollars 350m (œ210m), second only to tea as source of exchange and equivalent to 3 per cent of the country's gross national product, or 19 per cent of exports. Hizi ni takwimu za miaka 10 iliyopita, ikitolewa ripoti mpya mwaka huu utashangaa zaidi. Kisha takwimu za mwaka huo zilionyesha kuwa: The UN employs 1,291 national and 922 international staff - excluding short-term contracts - at a salary cost of more than Dollars 130m. Almost Dollars 6m of that is distributed via secondary employment of UN house staff, including servants, gardeners, guards, and drivers.
House rents around the Gigiri area of Nairobi have soared, with popular UN residential areas fetching almost Dollars 1,700 a month, compared to around Dollars 750 for properties in other affluent suburbs. The combined rent premium amounts to more than Dollars 10m.
In 1998, Kenya received over Dollars 3m for mailing and telecoms services, water and electricity bills and security services. The cost of transport services to regional programmes - including airdops, the rehabilitation of railways and road construction - topped Dollars 32m.

In fact, Dollars 350m probably understates the UN's impact. Many NGOs have regional centres in Nairobi, consultants abound and several diplomatic missions might not exist without its presence.
In addition, Kenya is sub-Saharan Africa's second largest media hub. And local companies do good business with the agencies, supplying them with drugs, blended foods and blankets. Total UN procurement of supplies in Kenya exceeds Dollars 20m.
As one economic analyst quipped, only half in jest: "Whatever the donors think of Kenya, the UN's presence ensures the economy will always scrape by."
USISAHAU HIZI NI STATISTICS ZA MIAKA 10 ILIYOPITA SASA HIVI HALI IMEBADILIKA KABISA.

@erfan, tunachongea hapa sio some funny research done by 'Mr Smith' of the Financial Times or a great discovery by Lord 'Cumberwell'. Tunaongea socio-economic challenges as we know them. Hizo number unazotoa ni nzuri sana but they are just numbers. Lets talk about the faces behind the statistics. Na hiki ndicho kiini cha debate.

Kwa bahati nzuri sana Tanzania na Kenya wapo karibu na watu toka nchi hizi mbili hutembeleana kwa sababu mbalimbali; work, holiday, etc. Sasa kigugumizi kinatokea pale Tanzania tunapewa picha ya Kenya tofauti na tunavyoifahamu. Kwa mfano kwa mtanzania ambaye hajafika Kenya na wala hana TV akisoma some reports, articles zinavyosifia Kenya anaweza kudhani Kenya ni kama Berlin, kila kitu safi na watu wake wanaishi maisha poa kabisa! Lakini kama umefika Kenya na hasa Kibera & co basi inakuwa shida hata kumaliza kusoma hizo reports.

In short, Mr Smith may well tell us how 'muscline' the Kenyan balance sheet really is lakini one thing is clear Kenya na Tanzania are dancing from the same tune! Poverty!

Mbona hatuelewani, nikitoa statistics za serikali ya Kenya mtasema zimeegemea upande moja, nikitoa za 'Mr Smith' unasema hazifai. Basi nenda Kenya binafsi ufanye utafiti kisha uchapishe hapa. Jambo lililowazi na linaweza kuthibitishwa na pande zote ni kuwa mbali na kuwepo umasikini Kenya, nchi hiyo imepiga hatua sana mbele ikilinganishwa na Tanzania hasa ukitilia maanani kuwa TZ ina utajiri mkubwa zaidi wa mali asili Afrika Mashariki. Huu ni ukweli ambao haupingwi isipokuwa na wenye utaifa wa kibubusa.
 
ni ukosefu wa maarifa kwa nchi kama ya Kenya kuanza kuongelea wanapata ngapi kwa kuwa na ofisi ya UN na ku-factor in kama main source of income for the country! Ningeona kitu cha maana kama wangeongelea uzalishaji wao umekua kwa kiasi gani! Ukiangalia US sijawahi sikia wakionglea the US inapata kiasi gani kama nchi! Labda NY city ambapo naweza sema ni peanuts ukizingatia na economic activities nyingine zinazoingiza income!
 
Back
Top Bottom