Kenya Seeks Diplomatic End To Ivory Sale Row With Tanzania

Most Read
Kaseja: It was tears of shame
Salmin's son to contest Magogoni seat
Malawians reel from Ngorongoro Heroes jinx
Mr. Oyoyo to perform in Dar es Salaam tonight
Basketball body punishes unruly player
TRC employee in court over forgery, theft
Magufuli effect changes in Livestock bills
Kiswahili order here to stay, says Mkuchika
Sumbawanga to have solar power
Shelukindo cries foul play in newspaper reportage
More News
Peasants arraigned over home-made forearms
Salmin's son to contest Magogoni seat
Kiswahili order here to stay, says Mkuchika
TRC employee in court over forgery, theft
Magufuli effect changes in Livestock bills
School girls pregnancies irk Mahiza
Lukuvi defends ward school idea
Sumbawanga to have solar power
Woman in court over fraud
African maritime safety fragile
Shelukindo cries foul play in newspaper reportage
Minister tells people to work for their development
Four Legislators decide to step down in Isles
Bunge ratifies Common Market protocol after heated debate
Mining Act to dominate Bunge debate
Can Tanzania revert to principles of Arusha Declaration?
Private sector minimum wage underway
Kilimanjaro plans CCM fundraiser
Rukwa 'witch' battered to death
Thieves worry Tarime gold mine


From ROSE ATHUMANI, in Dodoma, 19th April 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 12

MEMBERS of Parliament ratified the East African Common Market protocol today after a long and heated debate with some MPs saying the implementation ground was not level among member states.

The MPs said while Tanzania was getting ready to implement the protocol, some EAC member states were already ahead in the process. Ms Anna Kilango Malecela (Same East-CCM) said there were citizens from the EAC member states who both worked in the tourism sector illegally and some owned land in this country.

She urged the government to carry out a survey on foreigners who own land in the country and those working in the hotel industry and send them back to their homes so that the protocol can start on a level ground.

"This is like a football match where we should be lining up for inspection before the match begins, but our neighbours have already begun the match and scoring in our empty net," she noted.

Ms Malecela said she supported the ratification but warned that, if the government did not trade cautiously on this, Tanzania would end up employing foreigners on the pretext that Tanzanians did not know the English language.

"There are so many citizens from the neighbouring country working in tourism sector, who can easily be noted from their accent. Many have bought land illegally along our borders, they should surrender it," she stressed.

She also noted that the EAC member states should not use other countries' attractions to woo tourism to their own countries.

"Each member state has its own tourists sites, why should a neighbouring country use our tourist sites to attract tourists in their country. Kilimanjaro is in Tanzania and it belongs to Tanzanians," she said.

Zitto Kabwe (Kigoma North-Chadema) said ratifying the protocol was a step towards allowing free movement of people within the five EAC member states and, in the process, remove borders that were put in place by colonialists. He, however, stressed that the MPs should not allow the state of unpreparedness be the cause for hindering the envisaged success from the EAC.

"We must take the leading role in EAC by thinking of how our citizen will get employment in the other member states and not otherwise," he added.

Dr Binilith Mahenge (Makete-CCM), while agreeing with Mr Kabwe on the border issue, noted that the government should now take stringent measures to prepare the people produce quality products, so that they take precedence over products from other member states.

"The government should also build the capacity of the Tanzania Bureau of Standards in readiness for inspection of products getting into the country, otherwise we will end up with more products from neighbouring country," he added.

Mr James Lembeli (Kahama- CCM) said a marriage where partners are not faithful to each other will always end up in a divorce.

"I don't believe that all EAC member states love each other through thick and thin and my fear is that this happened outside EAC, what more should we expect when the common market is in full function. What mechanism do we have to control them," he wondered.

He blamed the government for keeping mum about the Doha incident whereby Tanzania failed to win approval to sell the ivory, saying the government should have condemned publicly Kenyan behaviour, as a member of the EAC. He noted that the Kenyan government has already prepared its people on how to harvest on the benefits from EAC.

"They will be given loans to build hotels on our own land, I assure you that next year all the hotels will belong to Kenyans. They are already plenty in our tourism sector," he stressed.

Dr Charles Mlingwa (Shinyanga Urban-CCM) said it was sad that Rwanda was together with Kenya in the campaign against Tanzania at at the Doha meeting, adding that Tanzania leads in Africa with the best tourism policies.

"So, this kind of neighbourliness where we are always fighting is not healthy and it is sad that instead of discussing our differences as neighbours, we choose to hang our dirty linen in public for the whole world to see," he added, referring to the Doha issue.

Ismail Jusa Lathu (Nominated-CUF) said the Zanzibar president should be involved in all EAC meetings, to protect the interests of the Zanzibaris. According to the timetable, partner states are required to ratify the protocol and deposit the instruments of ratification with the Secretary General by April 30, so that it may become operational by July 1.

The protocol establishing the Common Market was signed on November 20, last year, in Arusha during the 11th Summit of the EAC Heads of State.
 
Wabunge wetu kwa mikogo hawajambo utawasikia, leo patachimbika bungeni hakipiti kitu, mwisho utamsikia pamoja na maelezo hayo naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu, duh!!
 
Wabunge wetu kwa mikogo hawajambo utawasikia, leo patachimbika bungeni hakipiti kitu, mwisho utamsikia pamoja na maelezo hayo naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu, duh!!

Tunatakiwa kuchukua nchi, hawa wazee hamna kitu ndio nawaambieni hata hizo kelele wanazopiga mafisadi mafisadi hamna kitu humo. DOMO KAYA tu wana tia hasira kweli.
 
Hivi kwanini tuna Bunge? sijawahi kuona kazi hata moja ya bunge hawa jamaa wanatufisadi tu fedha zetu kwa jina la Bunge.

mie naonelea mafisadi namba moja ni Wabunge.
 
Amtendae mwenziwe anapotendewa yeye huhisi ameonewa.

(Mafahari Wawili Hawakai Pamoja)
 
WABUNGE wametaka raia wa Kenya na Uganda walioajiriwa katika sekta mbalimbali nchini, kabla ya kuanza kwa Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki, warudishwe makwao.

Pia wameitaka serikali kuhakikisha inawanyang’anya ardhi raia wa nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki walionunua ardhi nchini na irudishwe mikononi mwa Watanzania.

Wakijadili azimio la Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyowasilishwa na Waziri Dk. Diodorus Kamala, wabunge hao walisema haiwezekani raia hao wa nchi nyingine wajazane kwenye ajira za nchini wakati kuna Watanzania wengi hawana ajira.

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela (CCM) ametaka kufanyike kwa sensa katika hoteli na sekta nyingine kubaini raia wa Kenya na Uganda wanaofanya kazi nchini na warudishwe makwao kusubiri kuanza utekelezaji wa Itifaki hiyo.

“Tunao vijana wengi tu hapa nchini wamesoma vizuri na wanaongea Kiingereza vizuri, lakini ukienda kwenye mahoteli waliojazana ni Wakenya, hawa naomba warudishwe makwao wasubiri mpira uanze tucheze sawa,” alisema mbunge huyo.

Kwa upande wa ardhi, alisema serikali ifanye utafiti kubaini raia wa kigeni hasa wanaotoka kwenye nchi za Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda walionunua ardhi katika mikoa ya mipakani wanyang’anywe ardhi hiyo.

“Ardhi ya nchi ndio mali yetu, wenzetu hawa wana matatizo ya ardhi, serikali itambue ardhi hii ni kwa ajili ya Watanzania, hivyo serikali ikafanye tafiti mipakani na kama kuna ardhi imeshanunuliwa kinyemela na wenzetu hawa irudishwe,” alisema.

Mbunge wa Masasi, Raynald Mrope (CCM), aliishambulia Kenya kuwa ndio chanzo cha kuvunjika kwa jumuiya ya awali ya Afrika Mashariki mwaka 1977 na akaonya kuwa vitendo vya Wakenya vinatishia uhai wa jumuiya ya sasa hasa vya kuibia rasilimali Tanzania kama madini ya tanzanite.

Alisema Serikali ya Kenya inawatia kiburi raia wao kuendelea kuibia Tanzania hivyo akaitaka serikali iwakemee haraka likiwemo hili suala la kupinga Tanzania kuuza meno ya tembo katika mkutano wa Cites huko Doha nchini Qatar.

Mbunge wa Makete, Dk. Binilith Mahenge alisema Tanzania sasa hivi inazalisha wasomi wengi kila mwaka na isipokuwa makini katika utekelezaji wa Itifaki ya Soko la Pamoja, vijana wengi wanaweza kujikuta hawana ajira.

Alitaka vyuo vikuu vinavyotoa elimu kuhakikisha vinawapa mafunzo na ujuzi vijana hao ili wamudu ushindani katika soko hilo. Pia aliwataka wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ambazo zitakubalika katika nchi zingine za jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mbunge wa Kahama, James Lembeli (CCM), alisema kama ajira wataachiwa wageni hao kuingia holela, vijana wa Kitanzania wataenda wapi. Alitaka serikali ihakikishe kwenye sekta ya utalii inawapunguza raia hao wa Kenya ili Watanzania nao wapate ajira hizo.

Lakini alionya kuwa katika utekelezaji wa Itifaki ya Soko la Pamoja, Wakenya wamejiandaa kujenga hoteli za nyota nne hadi tano katika sehemu mbalimbali nchini, hali itakayowezesha kumiliki uchumi katika maeneo hayo.

Alisema serikali ya nchi yao imeahidi kuwasaidia kwa kuwapa mkopo hivyo akataka Serikali ya Tanzania nayo kuwawezesha wafanyabiashara nchini waweze kuwa na uwezo wa kwenda kujenga hoteli katika nchi zingine za Afrika Mashariki.

Mbunge wa Kuteuliwa, Jussa Ismail Ladhu (CUF), alitaka Watanzania wajihami kulinda ajira zao na akasema kufanya hivyo sio jambo baya na wala sio kuogopa ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Mbunge wa Shinyanga, Dk. Charles Mlingwa (CCM) alisema ni vigumu kukaa meza na Kenya wakati nchi hiyo inaongoza kupinga mipango ya Tanzania yenye lengo la kujikwamua kiuchumi.

Alisema kama juhudi za makusudi hazitafanywa za kuionya Kenya, anaamini ni vigumu kuijenga Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati hulka ya nchi nyingine ni kutaka wenzao waporomoke kiuchumi.

Maoni ya kambi ya upinzani yalitaka Bunge likemee kwa nguvu zote vitendo vya ujangili vinavyofanywa na Kenya ambavyo lengo lake ni kudhoofisha uchumi wa Tanzania.

Kambi hiyo katika hotuba yake iliyosomwa na Abubakary Khamis Bakary, ilieleza kuwa ni jambo la kushangaza kuona kwenye hoteli, maduka waliojazana huko ni wafanyakazi kutoka Kenya.

“Mbona maeneo haya yamejaa wakenya wakati sisi Watanzania bado hatujapata nafasi hizo, hii inatokana na kutojali uzalendo na ushirikiano wapamoja ndio uliotufikisha hapa,” alisema Bakary.

Wabunge walitoa maoni hayo wakati Wakenya wengi wanafanya kazi kwenye hoteli huku raia wengi wa Uganda wao wamejikita kufundisha kwenye shule za msingi zinazofundisha kwa Kiingereza.
 
sasa tofauti ya Tanzania na Zimbabwe iko wapi---je wanaruhusiwa kuondoka na inverstiment zao? je watanzania walioko kenya na UG?

haya ni mawazo potufu, mnapitisha umoja halfu mnautafutia sababu ushidwe kufanya kazi,

watanzania tunavunja uaminifu katika makubaliano ya soko la pamoja
 
mzee soko la pamoja kwani limeshaanza?mie mbona naona kama bado halijaanza!wakenya na waganda muondoke ngojeni kipenga kipulizwe cha soko la pamoja ndipo tuanze mbona huko kwenu hakuna watanzania wengi wanaofanya kazi kama ninyi mlivyo kwetu tatizo ni kwamba kipenga bado hakija pulizwa nimenukuu maneno ya mbunge wa same Anne kilango anasema soko la pamoja bado halijaanza lakini ninyi mmesha jaa tanzania matokeo yake vijana wetu wanakosa ajira please vuteni subira mpaka makubaliano yafikie mwafaka ninyi tatizo mmekuwa na haraka mno!
 
EAC ni ngumu kutekelezwa kwa vitendo .make hatuaminiani pande zote, kila inchi inavutia kwake ki Masilahi.kumbe hapa ku baadhi ya inchi zimejaa hofu ya kuwa shamba la BIBI.Zingine zinachekelea tu kuwepo kwa hali hiyo.
 
Wabunge wetu ni wanafiki wakubwa,siku zote walikuwa wapi,au ndio keleleza kuombea Kura,wananchi wamepiga kelele kuhusu hiyo Jumuia na wenyewe wakawa kimya,hiyo Jumuia ni ya wanasiasa ,maraisi na wanafamilia zao ambao wana mikono kwa kila kitega uchumi kinachowekwezwa hapa nchini,sisi wananchi hakuna aliye ridhia hiyo Jumuia,hiyo Jumuia ni Ben na Jakaya ndio wenye nayo,na Kenya kwa kutuonyesha jeuri wamefanikiwa kuzuia Tanzania wasiuze pembe za ndovu,hayo ndio matunda ya Jumuia,kupinga kuuza pembe za ndovu wakenya wameonyesha kuwa pale yanapokuja masilahi yao hawana masihara ,Kikwete amepigwa kofi la uso,na kama mnasoma magazeti ya Kenya ,siku ilipotangazwa kuwa Tanzania imekatazwa kuuza pembe zake waheshimiwa wa huko walijipongeza kwa sherehe kabambe kusherehekea ushindi.TZ imekuwa kama kokoro linasomba kila kitu !tungejifunza kwa Waingereza na Wanorway walivyopokea hiyo Jumuia ya Ulaya.
 
Tatizo wabunge wetu hawatazami mbele,wanafikiri ya leo.Sasa tutaogopa mpaka lini.unadhani wa Kenya au watanzania watabadilika,we will be the same.Jamani tuingie kwenye soko hili la pamoja.
 
I have never in my opinion imagine tanzanian insecurity in EAC.
do u think there is no Tanzanian in kenya and Ug working,
why do i know so many?
 
Basi iwe equal across the board, wale waPare na wachaga wote walio milimani Taita na kule Taveta wanaomiliki mashamba na kufanya biashara watimuliwe, hapa nairobi kuna wabongo wengi sana ambao wanafanya kazi huku, pia nao waende. Mbona watanzania wengi wana xenophobia? Heri serikali yenyu i chochee wananchi wa atack foreigners, then we shall know who has bigger balls, kwa sababu tunaelekea huko, na isipoangaliwa damu itamwagika.
 
Basi iwe equal across the board, wale waPare na wachaga wote walio milimani Taita na kule Taveta wanaomiliki mashamba na kufanya biashara watimuliwe, hapa nairobi kuna wabongo wengi sana ambao wanafanya kazi huku, pia nao waende. Mbona watanzania wengi wana xenophobia? Heri serikali yenyu i chochee wananchi wa atack foreigners, then we shall know who has bigger balls, kwa sababu tunaelekea huko, na isipoangaliwa damu itamwagika.
Ni ukweli kuwa damu itamwagika zaidi kwani tayari imeshamwagika mara nyingi. Uharamia, wizi na mauwaji ya wataalamu mbalimbali haswa watanzania umefanywa. Ni wajibu wa kila serikali kulinda raia wake.

Lakini hili kwangu sio la msingi katika hoja hii, ila tunachotakiwa kukifahamu ni kwa nini tunatanka kuwa na jumuia ya EA. La pili, tumejiandaa vipi kuingia kwenye EAC, kila taifa? Katika hili sitegemei Kenya ije kuwaandaa Watanzania, warundi na Wakenya kuwaonyesha njia. Ni wajibu wa kila serikali kuwaweka sawa wananchi wake na kulinda maslahi yake. Kama hii jumuia haina maslahi kwa Kenya, then Kenya isingekuwa na sababu ya kuipigania. Wabunge wetu wa Tanzania, wanatoa maoni yao kana kwamba hii jumuia waliandaliwa Wakenya peke yao wafaidike nayo, ambacho ni kitu cha ajabu, kwa sababu from day one kilichowafanya waridhie uanzishwaji upya wa jumuia hii ni kitu gani kama haina manufaa kwa Watanzania?
3. Labda kitu tusichokijua au wasichokijua watawala wetu ni hiki kuwa EAC ni sawa na alliance, ambapo kila part ina interest zake, ambazo ni wajibu wa kila part husika kuzilinda. Mkilala wenzenu wanainuka. Tujifunze kufanya tathamini ya nguvu, udhaifu na nafasi kati yetu na washirika wetu (SWOT analysis). Vinginevyo tutaendelea na yaleyale ya kale kuwa UHURU UCHELEWESHWE HADI PALE KUNDI FULANI LITAKAPOKUWA LIMEENDELEA/ELIMIKA KAMA KUNDI FULANI.

Najua threat ambayo Watanzania wanaiona, lakini pia zaweza kuwa opportunity! Kama walimu wetu hawawezi kufundisha vizuri kwa kimombo na waganda wanaweza, miaka 10 ijayo watoto wetu waliofundishwa na waganda watashika mpini. Hotel zikijengwa na Wakenya sio tatizo, watozwe kodi serikali ipate pesa isomeshe vijana ijengo hospitali, na Watanzania wafanye Ukorokoroni huko hadi serikali yao nao watakapojiwezesha na kujipambanua katika nyanja huska. Wakati naingia kwa mara ya kwanza Dar nikitokea mikoani mwishoni mwa miaka ya 80, walinzi walikuwa ni Wamachinga, wakati huo wamasai walikuwa mbugani wakijusa shughuli moja tu ya ufugaji. Leo hii Dar hailindwi tena na Wamachinga kwani hawa sasa ndio wafanyabiashara na wakati huo huo wamasai wamechukua nafasi ya wamachinga katika ulinzi. This is the process if you like to take it that way. Ndivyo serikali yetu inavyotaka jamii yake ikuwe naturally na sio kwa kuwezeshwa.

Kinachotusumbua Watanzania ni kitu kimoja, nacho ni hofu tuliojengewa kuwa hatuwezi. Kwanini hatujawa na upinzani wenye nguvu, ni kwakuwa hatuwezi, wakati huohuo kumbe hata waliopo ndani ya ccm wanaweza tu kujenga upinzani wenye nguvu lkn wamejengwa hivyo hivyo kuwa bila ya wao haiwezekani. Sasa wanaanza kutishika wakija Kenya, Uganda, Rwanda na Brurundi tutawaeleza nini wadanganyika wetu?

Tishio la Tanzania sio Kenya wala Uganda, ila ni Tanzania yenyewe na uongozi wake!
 
Bunge letu ni rubber stamp tu siku zote. Sijawahi kusikia wamechachamaa na mwishowe kukataa kata kata kupitisha yanayoletwa mbele yao. Baada ya miaka kupita tunaanza kujuta kwa nini Wabunge walipitisha hili na lile. Ni aibu!
 
siamini hata kidogo kwamba wakenya ni tishio kwa jumuiya ya east africa...kwa lipi au kipi?...wakenya ni tishio katika mambo ya kipuuzi say ujambazi, ukabila...zaidi ya hapo hakuna wanachotuzidi watanzania...ELIMU???...kwani wao wanasoma nin shuleni 2=2+4 au wao wamefundishwa 2=2+22?? kiingereza thats just a language kama ambavyo kinatumika kijerumani na kijapani...na kiswahili kinatakiwa kiwe lugha ya EAST AFRICA sasa tuone wenzetu waingereza wa afrika mashariki wataongea nini...kinachotakiwa hapa ni serikali yetu kutambua nafasi ya wananchi wake kama WAZAWA na hao second citizen wanawekewa taratibu zao za kuishi na kyfanya kazi kwetu..FULL STOP...kama ardhi sio suala la muungano then mgeni hatokaa amiliki ardhi..except anaruhusiwa kudevelop say jointly na mzawa (kama uarabuni dubei)...
 
Bunge letu limepoteza muelekeo, wanachojaribu kufanya ni kupata kura za WALALAHOI, wanashindwaje kuongelea WAHINDI na WACHINA sembuse wakenya na Waganda ambao ni majirani zetu
 
Back
Top Bottom