Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,350
- 730
Teh teh teh
Tatizo la mtu ambaye hajui wakati anajiona anajua ni tatizo kubwa.
Kwa mawazo yako kabisa na usomi wako kabisa unataka kutuelimisha ya kwamba EU wajerumani, wafaransa na wa UK wanaikatalia Uturuki kwa sababu wanaogopa ushindani na uturuki ya kwamba watu wao hawajaelimika kulinganisha na uturuki? Shida kweli kweli kwa wasomi kama ninyi.
Ama ya kwamba Norway wamekataa kujiunga na European Union ni kwa sababu ya inferiority ya kwamba wanaogopa watu wake ya kwamba hawajasoma eti ya kwamba wanaogopa ushindani maana nchi kama Romania,chech,Poland ,Burugalia zitatoa ushindani mkubwa .Teh teh teh Hoja zako ni mfu wala shule huna walio na shule wapo kimya.
Ni mpumbafu tu ambaye unaweza kumwambia eti mmesoma na akirejea kile kitendo cha kubeba panga na kumfukuza mwezio hadharani na kumkata ni mpumbafu tu huyo atayekubaliana na hoja ya kwamba msomi ana uwezo wa kumtia petroli wazake kadhaa akiwa kanisani.
MWelevu atakubali ya kwamba ni ma-Bushmen design tu ndo waliyo na morali ya kufanya vitendo vya namna ile hadharani na tena ni wale ambao civilization kwao bado liko mbali.
sasa wataka kunifunza wewe? tehehehe, ukiangalia hizo eneo ambazo nimezi highlight kuna any resemblance of the EU na EAC, sasa wataka kufananisha situation ya Bongo kwenye EAC na Norway?