Huyu Waziri Mkuu wetu haishi kunishangaza na kauli zake?
Hawazi kusema napinga kwa sababu sijui nini? lakini ukiangalia naye halitaki lakini anashindwa kusema hatutaki na anachia kazi wabunge wamalize.
Huyu Waziri Mkuu wetu haishi kunishangaza na kauli zake?
Wakenya are here just to seek for opportunities in which Tanzanians fall short, not really as friends to help us improve!
Soko la pamoja, Watanzania mtauza nini?...Maduka hadi ya vinyago ya Bongo vimejaa vikorokoro vya wakenya...mtauza nini?
Ninachowaomba wabunge wetu, kama kweli wanauhakika zaidi na wanachokifanya kuliko haya maoni yetu yanayopinga jambo hili, basi wale wanaounga mkono wajitokeze wazi wazi na kuwaeleza wananchi kuwa wao wameungana na Raisi kutupeleka huko. Kama mbunge anaamini anachokifanya na siyo kwamba anafuata upepo kama bendera au kama hakuna "conflict of interest" katika uamuzi wake basi ajitokeze wazi awaambie wananchi kuwa yeye ameunga mkono. Kwa sababu kama alivyojadili Mkuu hapo juu wabunge wengi wa CCM hawaaminiki. Anaweza piga kelele za kupinga huku nje klakini akawa ameunga mkono kwenye kura ya kupitisha jambo hili. Waziri Mkuu anashindwa kuelewa nini? Watanazania wapo tayari kwenda South Africa lakini hawaendi sana Kenya ambapo ni karibu. Wapo waliotokea hapo mpakani na Kenya hawakwenda huko badala yake wameteremka wako Malawi. Yote mnayajua vizuri kabisaa. Si vyema binadamu kujaribu kuidanganya nasfi yake. Hatuhitaji Mtume kutumwa na Mungu kuja kutuokoa kwenye hili balaa, tunahitaji tu kulielewa vizuri tukio la Doha na mengine tuliyokwishaona wakati wa EAC ya kwanza.
Kwanza serikali na Mh. Zitto watueleze wamewaandaaje wananchi na haswa vijana kujiunga na hii jumuiya? Takwimu gani mmezifuata kuona kuwa sisi ndiyo tutakaofaidika na hii jumuiya? Kumefanyika utafiti gani ambao wasomi walishirikishwa na wakaandika na kusahihi kuonyesha hili jambo linaendeshwa kwa maslahi ya Taifa letu?
Watanzania tunataka huo utafiti uwekwe wazi tuufahamu pamoja na majina ya walioufanya.
Viongozi wetu ni wa aajabu sana.
Sijui huko serikalini wanawakirisha mawazo ya wananchi ama mawazo yao.Mtu unashindwa kuelewa hao CCM serikali ya mseto zanzibar walisema ni suala nyeti lazima lipigiwe kura na wananchi. Sasa hili la kutuunganisha na manyang'au sio nyeti?? walilete kwa wananchi tulipigie kura ili wawakirishe mawazo ya wananchi na si mawazo yao.
Ni better tuonekane waoga kuliko nyie ma tribelist tuna wasiwasi mtauleta TZ bakini na u Kikuyu wenyu na u Luo wenyu we hate tribelism we dont want primitive communism to cross our border.Nyangau ni nani? Uoga na uvivu wenyu ndio umewafanya mkawa na inferiority complex kiwango hiki, kusema Kenya waliwaharibia kule Doha ni kisingizio kikubwa kisichokuwa na credibility yeyote, mlikuwa mnatafuta tu visababu vya kuhalt hio process. Mwaogopa competition, wengi wenyu hawako competent ku compete kwenye job market na the rest of East Africa na hii ndio sababu kubwa inaofanya watanzania mitaani kuikataa hii federation, sijui mnataka kujifungia kwenye boksi hadi lini, suluhisho kwa haya matatizo yote ni masomo, sijui tutawapa miaka mingapi ili mueze kusomesha vijana wenyu ili waweze kushindana fairly na vijana wa nchi nyengine duniani. NAWAONEA HURUMA ENYI WASWAHILI, HAMCHOKI KUONGEA???
Nyangau ni nani? Uoga na uvivu wenyu ndio umewafanya mkawa na inferiority complex kiwango hiki, kusema Kenya waliwaharibia kule Doha ni kisingizio kikubwa kisichokuwa na credibility yeyote, mlikuwa mnatafuta tu visababu vya kuhalt hio process. Mwaogopa competition, wengi wenyu hawako competent ku compete kwenye job market na the rest of East Africa na hii ndio sababu kubwa inaofanya watanzania mitaani kuikataa hii federation, sijui mnataka kujifungia kwenye boksi hadi lini, suluhisho kwa haya matatizo yote ni masomo, sijui tutawapa miaka mingapi ili mueze kusomesha vijana wenyu ili waweze kushindana fairly na vijana wa nchi nyengine duniani. NAWAONEA HURUMA ENYI WASWAHILI, HAMCHOKI KUONGEA???
Ni better tuonekane waoga kuliko nyie ma tribelist tuna wasiwasi mtauleta TZ bakini na u Kikuyu wenyu na u Luo wenyu we hate tribelism we dont want primitive communism to cross our border.
Nyangau ni nani? Uoga na uvivu wenyu ndio umewafanya mkawa na inferiority complex kiwango hiki, kusema Kenya waliwaharibia kule Doha ni kisingizio kikubwa kisichokuwa na credibility yeyote, mlikuwa mnatafuta tu visababu vya kuhalt hio process. Mwaogopa competition, wengi wenyu hawako competent ku compete kwenye job market na the rest of East Africa na hii ndio sababu kubwa inaofanya watanzania mitaani kuikataa hii federation, sijui mnataka kujifungia kwenye boksi hadi lini, suluhisho kwa haya matatizo yote ni masomo, sijui tutawapa miaka mingapi ili mueze kusomesha vijana wenyu ili waweze kushindana fairly na vijana wa nchi nyengine duniani. NAWAONEA HURUMA ENYI WASWAHILI, HAMCHOKI KUONGEA???
Mr Smatta why only Tanzania cant you join Somalia or Sudan whom you share also borders and blood to form KSS.Thats crap, we have finaly known your true colors you xenophobic coons. Its 2010 and you still embrace those colonial boundaries as if you were the ones who drew them yourselves, go and pimp yourself to the SADC and maybe you will get some sort of benefits. EAC will do better without you, am sure of it.
Mr Smatta when I say I dont want tribelism from you I mean I dont want thisThats crap, we have finaly known your true colors you xenophobic coons. Its 2010 and you still embrace those colonial boundaries as if you were the ones who drew them yourselves, go and pimp yourself to the SADC and maybe you will get some sort of benefits. EAC will do better without you, am sure of it.
Nyangau ni nani? Uoga na uvivu wenyu ndio umewafanya mkawa na inferiority complex kiwango hiki, kusema Kenya waliwaharibia kule Doha ni kisingizio kikubwa kisichokuwa na credibility yeyote, mlikuwa mnatafuta tu visababu vya kuhalt hio process. Mwaogopa competition, wengi wenyu hawako competent ku compete kwenye job market na the rest of East Africa na hii ndio sababu kubwa inaofanya watanzania mitaani kuikataa hii federation, sijui mnataka kujifungia kwenye boksi hadi lini, suluhisho kwa haya matatizo yote ni masomo, sijui tutawapa miaka mingapi ili mueze kusomesha vijana wenyu ili waweze kushindana fairly na vijana wa nchi nyengine duniani. NAWAONEA HURUMA ENYI WASWAHILI, HAMCHOKI KUONGEA???
Unajua Edson hata mimi sikubaliani na uuzwaji wa hizo pembe ni bora tuzichome lakini Kenya na Rwanda hawakuwa na sababu ya kuongoza kampeni tena hadharani walichofanya hakikuwa kitendo cha kiuungwana walitakiwa waje nyumbani kwa vile ni majirani tuzungumze pengine tungebadili mawazo.ki msingi tanzania hawakuwa wamejipanga sawasawa kuhakikisha kuwa wanapata kibari cha kuuza meno hayo
hoja zao dhaifu ndo ziliwafiksha hapo.