Kenya Seeks Big Airport for Obama

Kweli, lakini nadhani Wakenya wamezidi kuwa washamba....yaani hawana ujanja hata kidogo. Hata huku US eti unakuta Wakenya karibia 50 wote wanaenda kuomba marriage license kwa wakati mmoja kwenye courthouse hiyo hiyo...sasa kweli huo ni ujanja?

Halafu mademu wa Kikenya wanatuzimia sana sisi ma men wa kibongo....I dunno why....

this is BS piled deep and high. Do not generalize.
 
See, they dig us...now you ask yourself why?
It is because they are washamba.....both men and women.....mi nawafahamu Wakenya ambao wanajifanya wabongo na wengine wanaotaka kuwa wabongo...Lol....Halafu wanakizmia sana kiswahili chetu....wakikusikia unatema kiswahili utawasikia wanakuuliza..."wewe m-tizedi (MTZ) eeh" "nimesikia swahili yako nimependa sana"......

More BS...these are few and far in between.
 
Nah its Kisumu that will become the United States of Kenya. Trust luos to think of something like that....ok lets say Obama wins if he wins, what makes them think he will even go to Kenya for the four or eight years he serves as president...... Me thinks this is another way of trying to squander tax payers money... yet again!
 
Just another hairbrained scheme to swiddle tax payers. there should be a better reason to warrant the expansion of an existing Airport.

Obama is an American first and foremost. Bad governance and bad policies...back to square one!!!
 
Hey, plans to expand kisumu have been there for a long long time, its not coz of Obama at all..........and i dont see why kenyan shouldnt be proud of obama, the irish were even more proud of JFK.
 
Hey, plans to expand kisumu have been there for a long long time, its not coz of Obama at all..........and i dont see why kenyan shouldnt be proud of obama, the irish were even more proud of JFK.

Oh really....?
 
...Halafu ni mmoja wao tu aliyependekeza swala hilo...

Bwaha hah hah hah
Hivi mtu mmoja anaweza kuamrisha uwanja wa ndege ukarabatiwe bila kushauriana na wenzake katika jimbo?
Huyu mmoja alikuwa mwakilishi wa wenzake katika suala hili la upanuzi wa uwanja kwa ajili ya maandalizi ya ujio wa raisi wa Wamarekani
 
Hivi haukukarabatiwa, Obama si alishinda?

Shughuli ilanza kitambo na nadhani wanamalizia malizia if they have not reached completion.

DnKIBAKIKISUMU2507l.jpg

DnKIBAKIKISUMU2507s.jpg

PIX.jpg

Kisumu Airport Expansion On Course for May Completion
 
Wakenya kusema kweli kwenye vitendo huwa wanapafomu...

Mbona kwetu sioni any massive projects ie constructions kama wakenya?

At least they do something pamoja na ukabila na ufisadi, lakini wanafanya something bana!
 
...+1....... wacha sisi waDanganyika ..ohh sorry waTanganyika..haa sorry again.. I meant waTanzania tuendelee kucheza bao na kunywa gahawa na halua!...tukiamka kwenye usingizi mzito uliojaa ndoto za majinamizi..tutalaumu maendeleo ya wakenya kuwa ni tishio la amani yetu....
 
Kwa Tanzania kwa akili zetu za nazi ndio tunaweza kuiga iga sijui Sogwe interntional Airportt. Kwa nege gani hizo? ni Watanzani wangapi wana uwezo wa kutumia hizo airport.? ATCL wana ndege ngapi? Mi nadhani Tanzania tungejenga Intenational Railway network and stations. Mwanza, Kigoma Mbeya. Itapendeaz safari kati ya Dar Kgm na mwanza ikiwa less than 12 hrs. na kwa mizigo ikawa less thn 24hrs. Kwa Tanzania tulishaharibu kwenye anga , Railway networks should be priority kwa serikali na sio AIR transport. mambo ya anga waache watu binafsi . Nashangaa kuona wanaacha TAZARA na TRL zife . Hakuna mandeleo ya ku-takeoff yanakuja kwa viwanja vya ndege
 
Back
Top Bottom