Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,023
- 534
Hawa marekani waangaliwe kwenye darubini sana. Tukitaka kujua umuhimu wa mpangilio kama huu wa failed states, lazima tuchunguze ilianza mwaka gani na kusudi lake ni nini. Je! inapanga kuelezea na kusuliuhisha hilitafu gani? ina pangia kujenga au kubomoa? La sivyo ni ushabiki tunayoshuhudia kwa mfano hapa JF at a low level. tofauti tu ikiwa ni ushabiki wao ni "world-class". Watu ambao wanazo matatizo ya usalama na mengine mengi kama uchumi mbovu ambao unadorora kila kukicha wamepunguzwa wakawa ndio wanataka kushabikiana na mataifa ya Afrika.