Kenya PM's wife rejects state pay

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,009
Mama Kibaki analipwa ngapi kwa mwezi?

Kenya PM's wife rejects state pay
BBC News Online

MPs say the salary of Prime Minister Odinga (l) should also support his wife
The wife of Kenya's prime minister has turned down a controversial monthly allowance of $6,000 (£3,000) offered to her by the government.

Ida Odinga thanked the state for appreciating her role, but said she did not need money for her legacy.

The decision to pay hefty salaries to the wives of the prime minister and vice-president provoked public outrage.

Kenyan tax-payers are already paying heavily for a cabinet with more than 40 ministers - the largest ever.

A government memo directed that the wives of Prime Minister Raila Odinga and Vice President Kalonzo Musyoka be rewarded for their roles as hostesses.

Public duty

The letter, written by the head of the public service, Francis Muthaura, said the pay was supposed to recognise their role in upholding national family values.

"The legacy I have built is not worth $6,000 (£3,000). I thank Mr Muthaura for appreciating that there is a heavy responsibility that comes by virtue of my position. But I will not take the money," Mrs Odinga told Kenya's privately-owned Standard newspaper.

"Kenyans know I have taken care of my husband in good and bad times without help from the state, sometimes in spite of the state. I will continue doing that," she was quoted as saying.

Mrs Odinga runs a family business, Spectre International.

Pauline Musyoka, the vice-president's wife, has not yet commented on the allowance.

"I attend at least three functions a day, each of them public functions. I will continue doing that. I host people in the name of the Republic of Kenya," Mrs Odinga said.

First Lady Lucy Kibaki receives nearly $8,000 a month from the government.

President Mwai Kibaki and Mr Odinga agreed to share power in February after post election violence left some 1,500 people dead and 600,000 displaced.

The government of national unity ended the violence but has been criticised for its huge cost in a country where most people live in poverty.
 
Huyo mama angelikuwa mke wa viongozi wetu, angechota hizo pesa zote.

Huwa najiuliza serikali inapata wapi pesa za kuwafurahisha wanasiasa huku wananchi wanahangaika kwa umaskini wa kutupwa?

Heko mama Odinga kwa msimamo wako, umewatia aibu hao walafi akina mama Kibaki.
 
Ida Odinga, I salute you. You are a woman to appreciate!!! Pelekeni hizi salam kwa EOTF na WAMA. Na tuwaulize monthly allowance ngapi kwao na kama mpaka sasa wanapokea monthly pension???!!!!! I wish ningekuwa karibu na mama Ida Odinga nimpe hi ten. Big up. Umefungua njia, tunataka na wengine wafuate hasa TZ.

Unajua Ida Odinga kweli is an enterprising woman na pesa anayo. Pamoja na hayo ni wachache huwa wanakataa fedha dunia ya leo. Si kwa kuwa ni tajiri ndiyo maana amekataa bali kwa kuwa anaangalia ni Wakenya wangapia wanateseka wakati yeye anaweza kujipatia maisha mazuri, again a hero. Hapa Tz hata mumeo awe na cheo na wewe uwe na mifyeza je ukipewa utakataa au utapokea. Nadhani atapoea at the expense of the poor majority!!!!! Naona kama vile Anne Kilango anafanafana na huyu mama. Ametumia fedha zake binafsi kuwasaidia sana jimbo la Same tena kwa muda mfupi katika uongozi. Long live PM Odinga and Mrs. Odinga.
 
Alianza yeye kukataa au "amekataa" baada ya watu kukataa?
...
Vyovyote iwavyo iwe alikataa baada ya watu kukataa au aliamua kukataa mwenyewe lakini ni ishara tosha kuwa kuna watu wana uwezo wa kutosheka kwa kile walichojaliwa kupata....Unadhani angekuwa yule dada wa kichaga mjasiliamali angekataa hizo pesa wakati kuna wananchi wanaishii maisha yasio na uhakika wa kujua kesho nitakula nini??
 
Very good.....
 
Hivi dou blv these crap?What she denied is nearly 400,000 Kenyan Money but you can be rest assured she will recieve transfers of more than A million in a month.They are all like that and always wanna be seen as the so called loyal citizens!
 
Huyu mama msanii ki-aina. Hizo pesa ni stahiki yake na taratibu za kiserikali zimefuatwa sioni sababu ya yeye kukataa. Otherwise kama kawaida mambo ya kutaka ujiko tu na kweli amelenga maana naona masifa yashaanza kuvurumishwa hapa....
 
at least ameonyesha njia,aidha ameshinikizwa au hapana, kuna nia nzuri kwenye roho yake, kama ningeulizwa leo, kuhusu nani the best leader in africa ningesema ni Raila odinga, na uongozi manake ni familia, na familia ya odinga ndo hiyo.

mwaka 1999, niliwahi kumsikia piuse msekwa akiwa na basil mramba pale dodoma hotel, akiwalaumu akina ndesamburo na freeman mbowe, kwa kujitolea mishahara yao ya ubunge ifanye majukumu jimboni mwao eg kunua ambulance za wagonjwa, yeye msekwa alikuwa anawalaumu kwa kusema wanachofanya ni show off!
 
mmmmmmmmmmmh sipati picha...
chapaa hiyo angekuwa anapewa mke wa yule waziri mkuu wetu aliyekitia kitumbua chake mchanga sidhani kama angekataa.
 
na kweli naona humu jamvini tayari wanamwita msanii, hii ni hulka yetu waafrika kufikiria kuwa wizi wa kijanja janja wa mali za umma ndo mafanikio.

hhere is the story, there was a project which i was the project manager, back to 1980s, a friend of mine asked for a vacant for his young brother, fortunately, there was a vacant for a store clerk. nikamuajiri pale, muda si mrefu nikakutana na yule rafiki ayngu, akanipa shukrani kibao, siyo tu kwa kumpa ajira mdogo wake, bali kwa kumpa nafasi ambayo halali njaa , na kuwa sasa anajenga kibanda chake(of course anajenga kibanda kutokana na wizi wa cement na nondo alizoaminiwa kama store clerk! na kaka yake anamsifia.

wamgapi mnawasifia watu wenye maendeleo kijijini waliyopata kwa wizi wa pesa za umma? wangapi hasa uchagani mnawalaumu watoto wenu, kwa nini hukuiba kama mtoto wa fulani?

sishangai hapa tunamwita huyu mama ni msanii kwa kuwa amekataa dili la kijinga,alipwe mamilioni wakati kule kibera slums kuna watu wanakufa kwa kukosa asprin.
lets change our mind and God will bless with many opportunities
 
Ujanja ujanja upo wapi hapo? pesa za serikali na zimetolewa kwa tangazo halali la serikali hakuna ujanja hapo. Kama kuna ujanja ni huu auleta kwa kujitia kukataa na kupata misifa kumbe pembeni anakamua kuliko hizo
 
na kweli naona humu jamvini tayari wanamwita msanii, hii ni hulka yetu waafrika kufikiria kuwa wizi wa kijanja janja wa mali za umma ndo mafanikio.

hhere is the story, there was a project which i was the project manager, back to 1980s, a friend of mine asked for a vacant for his young brother, fortunately, there was a vacant for a store clerk. nikamuajiri pale, muda si mrefu nikakutana na yule rafiki ayngu, akanipa shukrani kibao, siyo tu kwa kumpa ajira mdogo wake, bali kwa kumpa nafasi ambayo halali njaa , na kuwa sasa anajenga kibanda chake(of course anajenga kibanda kutokana na wizi wa cement na nondo alizoaminiwa kama store clerk! na kaka yake anamsifia.

wamgapi mnawasifia watu wenye maendeleo kijijini waliyopata kwa wizi wa pesa za umma? wangapi hasa uchagani mnawalaumu watoto wenu, kwa nini hukuiba kama mtoto wa fulani?

sishangai hapa tunamwita huyu mama ni msanii kwa kuwa amekataa dili la kijinga,alipwe mamilioni wakati kule kibera slums kuna watu wanakufa kwa kukosa asprin.
lets change our mind and God will bless with many opportunities

It's human nature hiyo ndugu yangu!!. Angechukua angeitwa fisadi hakuchukua anaitwa msanii. Mimi nampa tano zake. Wale mafirst lady, second lady na hata third lady wa kwetu kamwe wasingelaza damu kwenye bulungutu kama hili, tena wangesema halitoshi hivyo waongozewe :)
 
...
Vyovyote iwavyo iwe alikataa baada ya watu kukataa au aliamua kukataa mwenyewe lakini ni ishara tosha kuwa kuna watu wana uwezo wa kutosheka kwa kile walichojaliwa kupata....Unadhani angekuwa yule dada wa kichaga mjasiliamali angekataa hizo pesa wakati kuna wananchi wanaishii maisha yasio na uhakika wa kujua kesho nitakula nini??

Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayepewa mshahara na kuukataa hata kabla ya mtu yeyote kujua, na mwingine anayepewa mshahara, watu wakaupigia kelele, halafu na yeye huenda kwa kuona aibu akaona bora aukatae.

Kama unazungumzia character na selflessness, yule wa kwanza ana character na selflessness ya hali ya juu sana, wakati huyu wa pili anaweza kuwa ana ma-calculations ya kisiasa tu.

Sababu ya kuuliza swali hii ni kwamba, nilisikia Wakenya walikuja juu baada ya kusikia kiasi walichopangiwa kulipwa mke wa Rais na wa Waziri Mkuu wao. Ningependa kujua bado, huyu mama aliukataa mshahara kabla Wakenya hawajajua na kulalamika au anaukataa kwa kuona haya baada ya population ya wakenya kuupigia kelele?

There is a huge difference, especially to those consumed with attention to detail.
 
its least it shows a good image of herself and the PM that not money which were fighting for
 
Huyu mama msanii ki-aina. Hizo pesa ni stahiki yake na taratibu za kiserikali zimefuatwa sioni sababu ya yeye kukataa. Otherwise kama kawaida mambo ya kutaka ujiko tu na kweli amelenga maana naona masifa yashaanza kuvurumishwa hapa....

Na wewew umezidi bwana.Yaani kila kitu wewe unaonaga ni kibaya tu,kuna watu kumbe wanastahili kuishi sayari yao.

BTW. Hongera mama Odinga.Majua pengine akina Salma Kikwete watamuona Ida kama Mchawi vile.Aibu Tupu,Loh!
 
at least ameonyesha njia,aidha ameshinikizwa au hapana, kuna nia nzuri kwenye roho yake, kama ningeulizwa leo, kuhusu nani the best leader in africa ningesema ni Raila odinga, na uongozi manake ni familia, na familia ya odinga ndo hiyo.

mwaka 1999, niliwahi kumsikia piuse msekwa akiwa na basil mramba pale dodoma hotel, akiwalaumu akina ndesamburo na freeman mbowe, kwa kujitolea mishahara yao ya ubunge ifanye majukumu jimboni mwao eg kunua ambulance za wagonjwa, yeye msekwa alikuwa anawalaumu kwa kusema wanachofanya ni show off!

Huyu Mramba ndiyo maana anarudisha nyuma jimbo la Rombo kwa sababu ya ubinafsi wake.

This chap is a thug!
 
Huyo mama angelikuwa mke wa viongozi wetu, angechota hizo pesa zote.

Huwa najiuliza serikali inapata wapi pesa za kuwafurahisha wanasiasa huku wananchi wanahangaika kwa umaskini wa kutupwa?

Heko mama Odinga kwa msimamo wako, umewatia aibu hao walafi akina mama Kibaki.

No no no no Mtanzania wasingechota hizo tu wangetafuta na nchia nyingine kuchota zaidi zisizokuwa halali.
 
na kweli naona humu jamvini tayari wanamwita msanii, hii ni hulka yetu waafrika kufikiria kuwa wizi wa kijanja janja wa mali za umma ndo mafanikio.

hhere is the story, there was a project which i was the project manager, back to 1980s, a friend of mine asked for a vacant for his young brother, fortunately, there was a vacant for a store clerk. nikamuajiri pale, muda si mrefu nikakutana na yule rafiki ayngu, akanipa shukrani kibao, siyo tu kwa kumpa ajira mdogo wake, bali kwa kumpa nafasi ambayo halali njaa , na kuwa sasa anajenga kibanda chake(of course anajenga kibanda kutokana na wizi wa cement na nondo alizoaminiwa kama store clerk! na kaka yake anamsifia.

wamgapi mnawasifia watu wenye maendeleo kijijini waliyopata kwa wizi wa pesa za umma? wangapi hasa uchagani mnawalaumu watoto wenu, kwa nini hukuiba kama mtoto wa fulani?

sishangai hapa tunamwita huyu mama ni msanii kwa kuwa amekataa dili la kijinga,alipwe mamilioni wakati kule kibera slums kuna watu wanakufa kwa kukosa asprin.
lets change our mind and God will bless with many opportunities

Kwa Afrika huyu mama si mjanja alitakiwa awe kama Mama Anna Mkapa ajilimbikizie majumba sehemu nyeti na ikiwezekana atumie hata FFU kuwatoa wapangaji waliomo ndani ili atekeleze matakwa yake na kutojali haki za binadamu, Ujanja Afrika ni kuwa mwizi kuibia umma kwani munawaonaje wazee waliochota pesa EPA?Kusema ukweli wale wanaonekana wajanja ndio maana hata Rais amewasamehe kiaina.
 
...
Vyovyote iwavyo iwe alikataa baada ya watu kukataa au aliamua kukataa mwenyewe lakini ni ishara tosha kuwa kuna watu wana uwezo wa kutosheka kwa kile walichojaliwa kupata....Unadhani angekuwa yule dada wa kichaga mjasiliamali angekataa hizo pesa wakati kuna wananchi wanaishii maisha yasio na uhakika wa kujua kesho nitakula nini??

Kuna baadhi ya mambo ambayo Tanzania inaiga kutoka kwa nchi zingine. Utasikia wanasiasa especially serikalini wakisema "wenzetu nchi fulani wanafanya hivi, wenzetu pale wanafanya kile. Sasa sijui kwa hili watasema vipi.
 
Back
Top Bottom