Hii ndiyo tz. kwani hujui kama siasa ndio inalipa zaidi? Just imajin ulikuwa teacher shule ya msingi ukiwa unalipwa laki na salasini kisha ghafla unakuwa mbunge unalipwa milioni kama 13 hivi utajisikiaje? ndiyo maana wanasema watz 95% ni wanasiasa tayari au wanataka kuwa wanasiasa. Sasa kazi za uzalishaji atafanya nani??Mkuu Bulldog wenzetu wanaona mbali sana wanajua wakitumia vyema mafuta yao katika soko la EAC watazidi kuwa na nguvu sisi kila kitu tunaingiza siasa.