Kenya now has 4.89 Million households connected to electricity

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
11,674
11,780
Kenya has connected 4.89 million households to the electricity grid, a 116 percent jump from 2.26 million in March 2013, the main power distributor said.

Officials have been racing to increase access to power to support economic expansion, cutting connection charges for customers.

Access to electricity jumped to 60 percent of the population from 27 percent in 2013, Kenya Power, the state-controlled electricity transmitter, said in an infographic published in a regional weekly newspaper.

The rate is based on multiplying the number of households connected to electricity by 5.5, the average number of people per household, Kenya Power said.

It said electricity capacity rose by a third to 2,341 megawatts, mainly due to an extra 380.6 megawatts injected into the grid by generator KenGen since 2013.

Kenya Power said the extra capacity had led it to cut tariffs.

4.8 million households connected to electricity - Kenya Power

Connectivity Performance Report as at 29th June 2016 | kplc.co.ke
 
wakenya wapo 35 millions almostly.
we
-->>waliounganishwa ni 4.8 millions.....!??!#@$%&!!!/.
good archivements.
 
wakenya wapo 35 millions almostly.
we
-->>waliounganishwa ni 4.8 millions.....!??!#@$%&!!!/.
good archivements.

Tanzania kuna mashule kweli???

mbona mnakuwa wajinga kupindukia?

hivi nikizungu kigumu au nini????

hapo juu wamesema

as much as 4.8mn Kenyan HOUSEHOLDS - H-O-U-S-E-H-O-L-D-S

on average a Kenyan household has 7-10 people in the rural areas and 3-5 people in arbun areas.......

so what is the population in 4.8mn households?? 4.8mn * 5 -24mn Kenyans averagely!!!!

TAFADHALI KAMA KUELEWA NI NGUMU KANYAGIA COMMENTS ZAKO!!! BADALA YA KUJIFANYA MJINGA!!!
 
It said electricity capacity rose by a third to 2,341 megawatts, mainly due to an extra 380.6 megawatts injected into the grid by generator KenGen since 2013.

plus the 378mw turkana wind underway
plus the 1054mw lamu coal underway
plus geothermal YA 400mw already 4200mw target by next year wakuu
 
Congrats majirani.. ni hatua muhimu. Ila kwa size ya nchi yenu iliwabidi muwe zaidi ya hapo.. ila hiyo ni hatua muhimu
 
Congrats majirani.. ni hatua muhimu. Ila kwa size ya nchi yenu iliwabidi muwe zaidi ya hapo.. ila hiyo ni hatua muhimu

kwa size YA nchi yetu????

Kenya is 589,000km²
Tanzania is 948,000km²

Kenya is 80% desert and semi arid

Tanzania Hamna desert

Kenya has a 46mn population
Tanzania mko 54mn

Kenya produces 2371mw by next year tutakuwa 4200mw

Tanzania mumekuwa 1500mw

stop judging us!!!!

judge yourself first
 
Tanzania kuna mashule kweli???

mbona mnakuwa wajinga kupindukia?

hivi nikizungu kigumu au nini????

hapo juu wamesema

as much as 4.8mn Kenyan HOUSEHOLDS - H-O-U-S-E-H-O-L-D-S

on average a Kenyan household has 7-10 people in the rural areas and 3-5 people in arbun areas.......

so what is the population in 4.8mn households?? 4.8mn * 5 -24mn Kenyans averagely!!!!

TAFADHALI KAMA KUELEWA NI NGUMU KANYAGIA COMMENTS ZAKO!!! BADALA YA KUJIFANYA MJINGA!!!

Yaani hawa jamaa huwa ni shughuli kuwaelimisha, walinyimwa akili kabisa, wana kila kitu ila akili. Utashangaa hawa hawa humu ni watu muhimu sana kwenye serikali yao. Wengi wana vyeti bandia.

Sasa mtu anahesabu households na kuweka iwe sawa na idadi ya Wakenya. Yaani hata mtoto mchanga ana nyumba yake binafsi.
 
**
households/houseowners/
housebelonged/
"" Kenya has connected 4.89
million households to the
electricity grid""
 
kwa size YA nchi yetu????

Kenya is 589,000km²
Tanzania is 948,000km²

Kenya is 80% desert and semi arid

Tanzania Hamna desert

Kenya has a 46m pulation
Tanzania mko 54mn

Kenya produces 2371mw by next year tutakuwa 4200mw

Tanzania mumekuwa 1500mw

stop judging us!!!!

judge yourself first
Porojo kama hizi ndio zinapelea kila mnacho kisema wakenya
Muonekane kama wapumbavu,
Wapenda sifa kama wana wake.
Unasema mnaelekea 4200mw
Kwa nini hujasema na Tz inaelekea wapi?
Umeweza kusema za uongo 1500!!!
Du!

Wakenya 90% JF wajinga mno
 
Yaani hawa jamaa huwa ni shughuli kuwaelimisha, walinyimwa akili kabisa, wana kila kitu ila akili. Utashangaa hawa hawa humu ni watu muhimu sana kwenye serikali yao. Wengi wana vyeti bandia.

Sasa mtu anahesabu households na kuweka iwe sawa na idadi ya Wakenya. Yaani hata mtoto mchanga ana nyumba yake binafsi.

Wacha ukubwa jinga kijana!!
Kila mtoto ananyumba yake!!!
Usipende kuropoka vitu kana kwamba JF upo wewe na mamako pekee.

Hayo uliyo yaandika mwenye Akili Timamu atakuona mwenye ubongo kweli!!

Jifunze kuropoka
Tunajua wakenya wengi wapo hali Mbaya Mbaya
Nyumba zipi hizo!!!

Ardhi ya Kenya yawatu wachache
Hizo nyumba za kila mtoto wamezijenga wapi!?

Kila mtoto ana nyumba lakini mnasema
Uwiano wa nyumba moja watu 7 imekaa poa kweli!!!
 
Tanzania kuna mashule kweli???

mbona mnakuwa wajinga kupindukia?

hivi nikizungu kigumu au nini????

hapo juu wamesema

as much as 4.8mn Kenyan HOUSEHOLDS - H-O-U-S-E-H-O-L-D-S

on average a Kenyan household has 7-10 people in the rural areas and 3-5 people in arbun areas.......

so what is the population in 4.8mn households?? 4.8mn * 5 -24mn Kenyans averagely!!!!

TAFADHALI KAMA KUELEWA NI NGUMU KANYAGIA COMMENTS ZAKO!!! BADALA YA KUJIFANYA MJINGA!!!

Wahurumieni hawa jameni, kama kigogo wao Geza Ulole hesabu ya kugawanya trillioni nne nukta mbili na mia imeshinda kwa lile thread la Mobile money transfer sasa utaexpect wanaomwabudu waelewe. Hahaha

Kenya overtaken in mobile money transfer
 
**
households/houseowners/
housebelonged/
"" Kenya has connected 4.89
million households to the
electricity grid""

Unatia huruma, hivi unafahamu kuna watu wanapita kimya wakisoma unachoandika humu.
Labda Mtanzania mwenzio akupe darasa.
 
kwa size YA nchi yetu????

Kenya is 589,000km²
Tanzania is 948,000km²

Kenya is 80% desert and semi arid

Tanzania Hamna desert

Kenya has a 46mn population
Tanzania mko 54mn

Kenya produces 2371mw by next year tutakuwa 4200mw

Tanzania mumekuwa 1500mw

stop judging us!!!!

judge yourself first
hajkwambia kwa ubaya boss. tulia
 
hawa jamaa buana /
Kenya toka mpate Uhuru mmekuwa busy na uchumi wenu/
Wakati Tanzania tulikuwa busy na ukombozi wa waafrika wote kwanza.../ mbio za maendeleo tumezianza juzi tu.../ 1985 baada ya kumfurasha Idd amin dada.../
we are now turning seriously to the economics of our country..../ pls tupeni 5 year ninyi wakenya mujionee..../
 
Back
Top Bottom