Kenya: Mbunge na diwani ruksa kuhama chama bila kupoteza nafasi yake ya uwakilishi.

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Sheria mpya ya vyama imepitishwa inchini Kenya ambapo itamuwezesha Mbunge au diwani wa chama chocote anaweza kuhama muda wowote kwenda chama kingine bila kulazimika kuachia nafasi yake ya uwakilishi hii ni kwa mujibu EA RADIO NEWS.
 
Dah,safi sana hii.

Mtu mpaka miaka mitano inaisha unakua ushapitia karibu vyama vyote kupunga upepo!!
 
Back
Top Bottom