Kenya launches a refillable 1 kg gas cylinder for poor households

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Kampuni moja Kenya imezindua mtungi wa gas wa kilo moja ambao itamwezesha mtumiaji kununua gas kuanzia ksh 50(tsh 850) hadi ksh 300 kwa ujazo kamili wa kilo moja. Taarifa njema kwa familia za uwezo mdogo ambazo nyingi hutegemea makaa au mafuta ya taa.
 
Back
Top Bottom