Kenya has Ksh 300bn debt under Kibaki's Presidency

Stop being arrogant...did it ever occur to you that Kenyans might know more about Kenya than you do? Eti sasa those Kenyans who disagree with you are being "blind patriots" as if wewe tu ndiye unayejua the real situation in Kenya hata kushinda wakenya wenyewe such that your (negative) opinions on Kenya should become unassailable? Nonsense!

No Kenyan here thinks that all Tanzanians who post habari za Kenya ni adui but there's several of you (with you being a prime member of this group) who have exhibited nothing but malicious hatred towards Kenya on every post you make about the country. We will call you out when you do it!

Kunradhi ndugu yangu Kalamashaka mbona unakuwa mkali sana, haya yote yanatoka wapi?. Anyway tunawakaribisha sana hapa JF na pia tunawapenda sana kama majirani ndo maana hata tumewatengenezea forum yenu....:hat:
 
Dhuks na livefire nawaheshimu sana, tafadhali naomba muache hii biashara ya kujifanya victims kila ishu ya Kenya inapowekwa mezani.
Interpretation iliyopo hapa kwa sasa inaonekana kuwa nyie mnaokataa kukosoa serikali yenu kwa kila jambo ni watu ambao mnanufaika na hiyo system. Jamani lets be RATIONAL.

Unlike what you believe we are ardent critics of our govt because we need better services but we dont make a point of criticising every thing that the govt does. Tanzania has its negative issues but we cannot make it our business all the time. Just look at all the posts by Geza and Ab-Titchaz about anything Kenyan and the bias is all there for everyone to see; while we may have no problem with Geza's comments because he is entitled to his opinions its a different thing when a mod fails that degree of impartiality
 
Dhuks na livefire nawaheshimu sana, tafadhali naomba muache hii biashara ya kujifanya victims kila ishu ya Kenya inapowekwa mezani. Viongozi wetu ndio wanatuaribia nchi zetu. Lazima tukubali na kuachan na haya mambo ya kuwa blind patriots, kwani hayatatufikisha mahala popote. Yaani sasa mtu yeyote anaye-post habari za Kenya hapa ni adui yenu?? then hakuna maana ya hata nyie kuwa hapa. FYI hii forum haiko hapa kwa ajili ya kutetea/kufagilia Serikali yeyote ya EAC kama hamuamini na mnajua vizuri lugha ya Kishwahili nawashauri zuruni kule Jukwaa la Siasa ndio mtaelewa moods za watu wa humu ndani...

Interpretation iliyopo hapa kwa sasa inaonekana kuwa nyie mnaokataa kukosoa serikali yenu kwa kila jambo ni watu ambao mnanufaika na hiyo system. Jamani lets be RATIONAL.

was thinking what kind of response i should give you as you come both as hot and cold but to be brief read the mood of Kenya forum, sth is amiss. Have a fab evening Bantugbro
 
Last edited by a moderator:
Dhuks said:
Unlike what you believe we are ardent critics of our govt because we need better services but we dont make a point of criticising every thing that the govt does. Tanzania has its negative issues but we cannot make it our business all the time. Just look at all the posts by Geza and Ab-Titchaz about anything Kenyan and the bias is all there for everyone to see; while we may have no problem with Geza's comments because he is entitled to his opinions its a different thing when a mod fails that degree of impartiality

livefire said:
was thinking what kind of response i should give you as you come both as hot and cold but to be brief read the mood of Kenya forum, sth is amiss. Have a fab evening Bantugbro
Haya nimewasikia...:hat:
 
While we are at it can you guys analyse the positive impact(or lack of it) the said debt has had on the life of Kenyans.
 
Back
Top Bottom