Kenya declares war on Al Shabaab!

kuna wakati nilihabarishwa hapa hapa JF kuwa kikosi CHOTE cha M23 kimeangamizwa,baadaye tena nikaskia mwanajeshi mmoja wa tanzania ameuliwa na M23!! Kisha tena nikaambiwa kuwa wanajeshi wa M23 wamekimbizwa mbali kabisa,na Tv moja ikanionyesha wananchi wa kongo wakishangilia barabarani!! Baadaye tena juzi hapa nikahabarishwa kuwa mwanajeshi mwingine wa Tanzania ameuliwa na M23 huko huko kongo!!! Nimechoka! Naskia kizunguzungu kabisa.
 
Ni propaganda tangiapo,media zote duniani hakuna iliyoreport,watu 300 kufa si mchezo ,taarifa zingetapakaa media zote,weka reliable link or it didnt happen.
 
Hapa sio fb ewe mamluki. Leta source na picha otherwise we ni mzandiki na mmbea
hii habari niliiona jana,kenyanlist.com.wameweka hadi picha za kutoa sijui kwenye video za rambo,wakenya wenyewe wakaiponda kuwa ni ya kupika.
 
Back
Top Bottom