jaribu kufwatilia usipoelewa ni PMNaomba mifahamishe inakuwaje Odinga ambaye ndiye kiongozi wa ODM hakushtakiwa, coz inaonyesha hao walioshitakiwa ni ODM members. Sikuwa nafwatilia sana from the begining ila jana nilikuwa interested walipokuwa wanaonyesha live on Citizen TV from Hague