Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Jana nimepokea suala toka Tanzania kwa mmoja wa jamaa zangu akiwa ananiuliza nini sharti za Islamic bank and accounts kama ilivyoelezwa kisharia.
Amesema Kenya Commercial bank (KCB) huko Tanzania wameanzisha akiba maalum kwa kufuata mfumo a bank za kiislamu.
Sasa ndugu zangu, najua wengi mpo huko Tanzania mnaweza kunieleza kifupi namna account hizo za kiislamu zinavyoendeshwa na hao KCB?.
Mimi nitafafanua kwa mujibu wa sharia namna account za waislamu katika bank zao zinavyoendeshwa.
Nitakuwa sijatenda haki hata kidogo kama sijapata namna KCB wanavyoendesha akaunti hiyo ili niseme kama wapo sahihi au laa.
nakaribisha mjadala.
Nasriyah Saleh Al-Nahdi.
Doha. Qatar