HESHIMA MBELE NA MASLAHI YA WATANZANIA MBELE!
Wakuu! Ukiona Nyang'au anapiga kelele kiasi hicho, ujue yamemfika shingoni.
I have been in some Kenyan National Parks and tour attractions. Truely, they have nothing to offer now. Kila kitu kimekwisha na ndio maana wanahaha. Kenyan are practicing "MASS TOURISM" which is not sustainable. Walifurahia kukusanya pesa nyingi bila kufikiria utalii endelevu, kitu ambacho sasa kinawagharimu. Mbuga zote zimekuwa tupu, walizoea kupenyeza watalii wao kwenye mbuga zetu kupitia njia za panya na kuwawezesha kutangaza uongo kwamba vivutio wanavyoviona na raslimali za Kenya wakati si kweli.
Baada ya serikali kuamua kutangaza vivutio vya Tanzania kwa nguvu zaidi, watalii wameshagundua kwamba kumbe Kenya hakuna kitu ni matangazo ya bure tu.
Ni vyema TTB na serikali kwa ujumla kushikilia msimamo wa kutokubali kuingiza biashara ya utalii kwenye mpango huo wanao pendekeza hao Nyang'au. Ni bora tukapata watalii wachache lakini twaweze kuona kile wanachotaka kukiona kwenye mbuga zetu, na vivutio vyetu viweze kuwa endelevu. Hoja hapa si kuwavutia watalii wengi. Kitu muhimu ni kuwa na utalii wenye THAMANI KUBWA na watalii wako tayari kulipa zaidi ili mradi wana uhakika wa kuona kile wanacho kitaka, kitu ambacho Kenya kwa sasa hawana na hawatakuwa nacho. Kilichobaki kwao ni kuwa na mahoteli makubwa mbugani ambayo kwa sasa hayaingizi kitu.
Tunacho takiwa ni Wizara na idara husika kuendeleza kampeni ya kuitangaza Tanzania na kuziandaa sekta zote zinazo husika na utalii kuwa tayari kutoa huduma bora na za kisasa zaidi zinazo lingana na thamani ya fedha anazolipa mtalii.
Nawasilisha.