S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,712
Kenya wameona mbali, hawataki kitu chochote kiingilie kasi ya maendeleo yao. Tanzania tumejiingiza kwenye vita ya wakubwa tusubiri kukiona cha moto. Hutuna ubavu wa kupambana na US na Europian Union. Amini usiamini tutaumia tu. Siandiki kishabiki lakini ndiyo hali halisi. Kwanza huko serikali yetu inashinda kukopa.