Kentucky Fried Chicken (KFC) opens in Nairobi on Friday

Zamani bongo kulikuwaga na Chick King....early 90s. Nakumbuka walikuwa wanauza KFC inspired chicken. Sina hakika kama walikuwa na (ni) franchise.
 
Mnavyopenda kula chips za vichochoroni za mia mbili mtamudu kununua fast food za KFC?
Who knows may be KFC wanaweza ku-improvise baadhi ya vitu vyao kuendana na mazingira ya soko husika, usishangae wakaongezea kwenye menu yao firigisi na chipsi dume/vumbi ili kuwapata wateja wengi
 
Back
Top Bottom