Kelele za Mama Akifanya Mapenzi Zasababisha Mtoto Aite Polisi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108

6319986.jpg

Thursday, March 22, 2012 3:33 AM
Mama mmoja wa nchini Marekani amejikuta akiitiwa polisi na mwanae wa kike ambaye alikerwa na kelele zake za kimahaba wakati akifanya mapenzi na mpenzi wake.
Mama mmoja mkazi wa Panama City, Florida nchini Marekani alijikuta akigongewa mlango na mapolisi walioitwa na binti yake mwenye umri wa miaka 15 ambaye alikerwa na sauti za malavidavi za mama yake.

Binti wa mama huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, aliamua kupiga simu polisi akiwaomba wamchukue wampeleke kwenye kituo cha kulelea watoto cha kanisa.

Mtoto huyo aliwapigia simu polisi majira ya saa 10 alfajiri akisema kuwa sio kwamba mama yake anamtesa au kumtelekeza bali anahisi mama yake anamvunjia heshima kwa kumsikilizisha kelele zake za mahaba wakati akiwa kwenye malavidavi.

Mama huyo mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia polisi kuwa siku ya tukio alimualika mpenzi wake nyumbani kwake na kwakuwa chumba chake na cha binti yake vinatenganishwa na ukuta tu ndio maana alikuwa akisikia mambo yaliyokuwa yakiendelea.

Baada ya maafisa wa polisi na wa kanisa kuzungumza na binti huyo hatimaye binti huyo alikubali kubaki nyumbani kwao kwakuwa zilikuwa zimebaki siku chache kabla ya kutakiwa kurudi kwenye shule yake ya bweni.

Pamoja na kasheshe hilo, polisi walimkabidhi binti huyo kijarida chenye maelezo ya haki za msingi za kila mkaaji kwenye nyumba.

<tbody>
</tbody>

Kelele za Mama Akifanya Mapenzi Zasababisha Mtoto Aite Polisi
 
mimi pia yalinikuta huku nilipo mwanamke mweupe na mume wake ikifika saa 8 basi inakuwa ni kasheshe sipati usingizi mpaka nikawaambia ukweli wakaacha hiyo tabia yao ya kupiga makele ina udhi kweli raha zao wanawaudhi hata majirani ehh balaa hilo.
 
pole sana kwa dhahama hiyoo mkuu..
 
Hii tabia ipo hata kwenye nyumba zetu za kupanga (mfukoni) Utakuta jama kaleta demu, kisha demu anapiga kelele mpaka majirani wanaamka kwenda kuamulia wakijua ni mapigano ya chuki kufika mlangoni wanaona helele za mahaba!

Sheria hii ya haki ya aliyelaal ianishwe ktk katiba mpya
 
mimi pia yalinikuta huku nilipo mwanamke mweupe na mume wake ikifika saa 8 basi inakuwa ni kasheshe sipati usingizi mpaka nikawaambia ukweli wakaacha hiyo tabia yao ya kupiga makele ina udhi kweli raha zao wanawaudhi hata majirani ehh balaa hilo.

nilikuwa na jirani yangu binti wa kinyamwezi,siku akimualika mpenzi wake yaani we acha tu.kelele za kufa mtu.thanx god alipewa notice na mwenye nyumba bila sababu maalum.
 
Hapa Bongo familia zina tenganishwa na pazia tu watoto wanaazoea kelele mpaka mwisho wasiposikia baba na mama wanakula tunda wanajua leo hawajala......huu ni ununda ila huyo binti nae alikuwa anamaind mzigo tu
 
Usiombe hali hiyo ikatokea, iliwahi kunitokea siku mmoja baba mwenye nyumba mkewe alikua amesafiri mzee akachukua voda fasta....... mh ndugu yangu ilikuwa taabu humo ndani usiku yaani ile voda fasta ilikuwa inalalamika utadhani inalazimishwa..... achana na hizo kelele zinaboa ukizisikia zinatokea chumba cha pili ila kama wewe ndo unamsababishia demu unajiona kidume kweli.. teh teh teh teh....
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu? hahahahah
 
Back
Top Bottom