Kelele za dar live mbagala

Ni kelele ambazo watu wamejitoa fahamu,wanaishi ya enzi ya mawe. Kelele kuanzia saa 9 usiku,na mbaya zaidi sauti ikisambaa kilomita kadhaa kulingana na uwezo wa kipaza sauti. Lazima serikali kwa kushirikiana na viongozi wa dini waweke viwango vya sauti zinazoruhusiwa usiku. Bila hivyo tutaishi kama mahayawani wanavyoishi maporini.
Kuna sheikh mmoja rafiki yangu Baharia kitambo yeye yuko moderate sana nimemwambia awaambie masheikh wenzake angalau zile kelele wawe wanaanza saa saa 10 na nusu usiku, akanijibu akaniambia mapumbavu yale yanafanya makusudi, wao wana kanda zimesharekodiwa wanapigia kelele wenzao kama wale wa dawa ya mende, kunguni panya viroboto, ukitoka ndani wao wanafanya kazungurukee wanakuja kwa mkeo kupiga cha mkware. hii ni fact.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom