Mazoezi ya Kegel kwa wanaume

ombeni

Member
Mar 24, 2011
47
2
Wakuu habari za pasaka,naomba msaada wa jinsi ya kufanya mazoezi ya (Kegel )kwa wanaume anayefahamu naomba kujifunza kwake naomba kuwasilisha Gnaiti asante.
 
Jf kuna mambo sasa na nyie wakaka mnafanya ili mtalimbo uwe tight au???
jaribu kubana kama unatoa haja ndogo na kuibana na kuachia lol
 
kwa wanaume wakati wa kujisaidia haja ndogo,ashakum si matusi,unaachia mkojo kidogo,then unaubana kwa sekunde 5(hesabu mpaka tano). unaendelea kufanya hivyo hadi unapomaliza.mazoezi haya yanasaidia kuongeza stamina wakati wa sex kwa wale wanaowahi kumaliza ama kushindwa kuji-control muda wa kumaliza tendo
 
Jf kuna mambo sasa na nyie wakaka mnafanya ili mtalimbo uwe tight au???
jaribu kubana kama unatoa haja ndogo na kuibana na kuachia lol

Mh! Huku wapi tena wajameni! Nimejikuta tu wapendwa sikujua nimeingiaje ila nimetoka speed!
 
kwa wanaume wakati wa kujisaidia haja ndogo,ashakum si matusi,unaachia mkojo kidogo,then unaubana kwa sekunde 5(hesabu mpaka tano). unaendelea kufanya hivyo hadi unapomaliza.mazoezi haya yanasaidia kuongeza stamina wakati wa sex kwa wale wanaowahi kumaliza ama kushindwa kuji-control muda wa kumaliza tendo

asante mkuu
 
Wakuu habari za pasaka,naomba msaada wa jinsi ya kufanya mazoezi ya (Kegel )kwa wanaume anayefahamu naomba kujifunza kwake naomba kuwasilisha Gnaiti asante.[

Nimekutumia ktk Private SMS nadhani itakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom