KCMC na utaratibu mbofu

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Yani mimi nimechoka ka kama unakuja kcmc uage nyumani mana uwo mlolongo wa kufa mtu . Nimemleta mama yangu leo sasa moja asubuhi mpaka sasa sijamuona dr yani ni noma tumezungushwa na sina uwakika wa mama kutitibiwa na mcheki mama ameaza kuznzia
 
ya LUHERAN, vp umeuliza taratibu zinakwendaje, au unalalama tu. Maana watu wanaishia kutouliza mwishowe wanachelewa matibabu
 
hata mimi niko kcmc nimefika sa 12 asubuh na nilipata no 4 nimekaa nasubiri file liletwe kwa dokta hd sa 5 halijaja ikabidi nirud mapokezi nakuta file langu limewekwa pembeni AISEE ACHA 2 KAMA SI KUWA MKALI NINGETOKA HP SA 10, yn kcmc kwishney
 
changa la macho hapa, watu wanataka kutuaminisha kuwa hospitali zinazopata MOU huduma mbovu... yangu macho mimi!! nakaribisha matusi kwa wale wataalamu
 
teh teh badala ya kuajiri madaktari, wanaazisha miradi ya kufuga NOAH!
 
Ile ni hosp ya rufaa mkuu unaweza kuwa foleni zikapita emergency kibao mkuu. ukikwama kabisa ni pm nikupe namba ya mkuu mmoja pale atakusogezea hata faili la mama yetu. Pole mwaya.
 
Hivi ni ya serekali au ya lutherani mana sielewi

Hili ndio lilikuwa lengo lako na wala si ulichokuwa unaeleza mwanzo. Kwanza hujatuambia tatizo ni nini unasema unazungushwa. Kama umefika hospitali na mama yako wa miaka 98 na kuwaambia wauguzi ana ujauzito unategemea madaktari wasifanye kikao?

Eleza vizuri umezungushwaje, na uzingatie umma wa Kaskazini na kila kona ya nchi wanaenda huko. Sijui ni kwa nini tunapenda kwenda kwenye hospitali za rufaa hata kwa matatizo madogo madogo kama malaria.
 
hii ni kweli. Watu hawajui matumizi ya hospitali za rufaa! We unaumwa upele,unaenda KCMC,au Bugando! Matatizo mengine si ya kumuona Daktari.. Hata Tabibu anakutibu.. La sivyo uende kwenye hospitali binafsi. Huko hata mapunye ukienda J,pili mchana utatibiwa!
 
ya LUHERAN, vp umeuliza taratibu zinakwendaje, au unalalama tu. Maana watu wanaishia kutouliza mwishowe wanachelewa matibabu

Watu si wanalalama tu bila ya hata kupata maelezo tosha toka kwa walengwa!
Mtu anaweza ikawa ndiyo mara yake ya kwanza kufika pale akiwa na mgonjwa au anaumwa yeye mwenyewe halafu siku hiyo anakutana na foleni ya wagonjwa kama yeye.

Halafu baada ya kuchelewa ktk mambo yake ndiyo hivi anatuanguashia humu jamvini.
 
tatizo letu wabongo ni vichwa ngumu.hospitali ya rufaa inatakiwa ione referal cases tu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom