Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Kwakweli inaboa sana yani kila ukifika wanakwambia mtandao upo chini waweza kuchukua hata dk 30 kwa shughuli ya 5dk! Balaa zaidi limeanza jana ya hakuna kuchukua pesa kwenye bank teller labda uwe na ATM, ishu ipo kwa wenye a/c za kampuni yani tunaambiwa hapa nikuweka pesa tu sio kuchukua!!
Hebu wataalamu wa sheria mtusaidie hii inakaaje? Nani ataliziba pengo la hasara iliyo kwa sasa?
Hebu wataalamu wa sheria mtusaidie hii inakaaje? Nani ataliziba pengo la hasara iliyo kwa sasa?