KBC INAONYESHA AFCON kibaki anawapenda sana wakenya

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Vitendo vinaongea kuliko maneno . Ni maajabu kbc ni kama tbc lakini mkwr naona ame relax hailewi hata jirani yake kibaki anafanya nini. Ee mungu mrehemu huyu kiumbe mapema maana haisaidii dunia yako
 
Kwani JK ndo anarusha matangazo?mlaumu kibaraka wa tbc1 ndo kalala usingizi wa pono!
 
Jamani hata TBC kuonyesha mpira ni kazi ya Rais! Kweli ukubwa jalala!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom