Kazi

raky

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
206
32
NAFASI YA KAZI .........

Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhi hadi saa tisa jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo.

Sifa za muombaji:
1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo au Diploma.
2. Hakuna uzoefu unaohitajika.
3. Umri chini ya miaka 45.

Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali, kandamiza "Like" na njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta sana kazi kama hiyo.
 
Mibangi hiyo

Huyu jamaa aliyetoa huu uzi atakuwa na matatizo kwa sababu anacheza na HISIA za wna jamii.
 
Kama huna kitu cha ku-post soma tu, sio unatupotezea muda wetu ss sio watoto wenzako, pumbavu
 
...
Sifa za muombaji:
1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo au Diploma.
2. Hakuna uzoefu unaohitajika.
3. Umri chini ya miaka 45....
Bila shaka jamaa ni miongoni mwa hawa Form Four waliofeli (aka walio.differentiate the constant), sasa baada ya kufeli ameamua kutafuta kazi. Lakini heri yeye hajajinyonga!
 
NAFASI YA KAZI .........

Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhi hadi saa tisa jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa.
5.Usafiri na nyumba ya kuishi upo.

Sifa za muombaji:
1.Cheti cha Form 4 au Form 6, Chuo au Diploma.
2. Hakuna uzoefu unaohitajika.
3. Umri chini ya miaka 45.

Kama unahitaji hiyo kazi, basi usijali, kandamiza "Like" na njoo ungana na mimi tuanze kuitafuta manake hata mimi ninatafuta sana kazi kama hiyo.

Dah! Mwana unatema pumba mbaya! Hujui kama kuna vijana wako na kaz nzuri full kiyoyozi na magari yao na ya kaz pia,tupo humu na ikitokea kijana mwenzetu anatemba pumba tunahisi anakon'golwa mabuti na wajanja.
 
Back
Top Bottom