kazi za wasanii na ving'amuzi

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,083
jamani habari za asubuhi hivi nasikia kuna ving'amuzi ambavyo vinauwezo wa kurekodi kipindi kwa kutumia frashi sasa kazi za wasanii zinaweza kushuka mtu kama anataka kununua cd zima anasubilia wimbo upigwe studio ili arekodi akishapata hanunui tena
au haiwezekani hebu mwenye uelewa atueleze
 
frashi = flash
anasubilia = anasubiria
 
miafrika bwana ndio tatizo ww kama huna uelewa sunaacha kuchangia kuliko kulinganisha maneno
 
Hahaha mkuu kubali tu upo nyuma sana kiteknolojia, hivi unadhani kabla ya ving'amuzi ndio tulikua hatuwezi kunakili hizo nyimbo.
Mkuu kuna DVD players zina Internal HDD only for capturing input yoyote ya video au audio.
Kuna Graphics Card za Kompyuta nazo zinarekodi kutoka kwa TV or any other source ya multimedia.
Katika old technology ya VHS(mikanda ya kina Van Damme, Commando Kipensi), bado wengine tulikua tunarekodi miziki na vipindi vingine kwa kupitia zile old fashioned video players yet videos kali za Wabongo ziliendelea kuuzika.
Vipo vifaa vingi tu ndugu, hivyo sijashangazwa bado na hii habari yako.
 
Umeona enheeee mwambie huyo mbulula anadhani mambo ya kurekodi kazi za wasanii zimeanza baada ya ving'amuzi?
 
miafrika bwana ndio tatizo ww kama huna uelewa sunaacha kuchangia kuliko kulinganisha maneno

Ndugu yangu, KABOBA anakuonyesha makosa yako ya kiswahili na kuyarekebisha ili siku nyingine uandike kiswahili fasaha, we unampa jibu hili! Nimeamini: Asiyejua, na hajui kuwa hajui, huyo ni hatari, mwepuke.
 
Last edited by a moderator:
ww unafikiri kila mtu anamuda wa kufanya unayoyafanya ww
swala c kwamba npo nyuma ww ndio uko nyuma kwani ukiniambia kuwa zinapatikana sehemu utapungukiwa nn au kila mtu akikuuliza kitu ndio yuko nyuma
 
Back
Top Bottom