Kazi za wana JF when off the keyboard

mhh we NN mbona mchokozi ivo?
aya mintakuwa siamulii ngoja waje...unawachokozaga mwenyeweeee wewe ....ngoja waje

kwani unadhani naogopa? ka lizzy nimekaona sehemu kule MMU....leo sijui kanaumwa maana hakajachangia popote
 
Ka Lizzy kumbe ni ka sekretari....ndo maana kanakesha JF

Yani boss ananipenda mpaka kaninunulia laptop...eti ili nifanye kazi hata jioni kupunguza za mchana.Kisa sijaolewa...utadhni kua singo ndo kunamaanisha sina ishu nyingine baada ya kazi!!
 
Yani boss ananipenda mpaka kaninunulia laptop...eti ili nifanye kazi hata jioni kupunguza za mchana.Kisa sijaolewa...utadhni kua singo ndo kunamaanisha sina ishu nyingine baada ya kazi!!

aayaaaa weeee hatimaye umekuja daaaaah
 
kwani unadhani naogopa? ka lizzy nimekaona sehemu kule MMU....leo sijui kanaumwa maana hakajachangia popote

mhh kumbe unakafatiliaga enh?
aya bana...ngoja aje mtakutana wenyewe....then mkioana mtakuwa couple nzuri..wanaogechana ndo wanaopendana....(lizyy sor jst jok....manake mhh)
 
Yani boss ananipenda mpaka kaninunulia laptop...eti ili nifanye kazi hata jioni kupunguza za mchana.Kisa sijaolewa...utadhni kua singo ndo kunamaanisha sina ishu nyingine baada ya kazi!!

na ule mradi wako wa vitumbua na maandazi unaendeleaje?
 
<b>Lizzy-secretary, Preta-anahudumia internet cafe, Shosti-Saluni Asprin-anajishughulisha na shughuli ndogo ndogo(baada ya kutimuliwa ofisini) mwanakijiji-anauza mbogamboga(mvua nayo hamna anatafta kazi nyingine) Husninyo-saluni , Ivuga-kinyozi ,M.Roza-mama wa nyumbani ,Saigoni-underground(hiphop) ,Tusker baridi-as if inahitaji ufafanuzi wa kazi yake. haha,just 4 laughs guys take it easy,the list goes on t's free to add...</b>
Hahhhahha....double G asante sana kwa kunichekesha maana ningelala sijacheka leo.

Owkey list inaendelea...

Double G yeye ni profesor mstaafu wa physics (japo hajui bado) and he is obssesed with time travel.Anaamini karibu ataunda kamashine kakumrudisha kwenye ujana wake.

NN ni janitor pale British Council...hua anawahi kazini ili achungulie wanachofundishwa wanafunzi nae akabie hapo hapo kwahiyo msishangae kajulia wapi kimombo huyu mmIkungulyabashashi.

AfroD ndo mama ntilie wa hapa maeneo ya ofisi.

Baba mchungaji (nawaambia hii kama siri...) ni mchungaji kwa mawazo yake ila alishafukuzwa zamani kwa ulevi uliokithiri.Siku hizi hata misa hua hahudhurii...alafu eti lawama zote kwangu!!!

Fynest ni mbemba zege flani hivi hapa maeneo ya jirani...alafu namshangaa eti anadhani anaweza akawa na mimi.

Mkirua ana kabanda kake pale Kariakoo ila anasema baada ya mwaka mmoja dasilamu atakua amehamia sehemu nyingine kuuza kitifaya!!
 
NN ni janitor pale British Council...hua anawahi kazini ili achungulie wanachofundishwa wanafunzi nae akabie hapo hapo kwahiyo msishangae kajulia wapi kimombo huyu mmIkungulyabashashi.

You must have been dropped on your head when you were a baby.....I haven't laughed all day and all night until now. This was a much needed comic relief!
 
mhh kumbe unakafatiliaga enh?<br />
aya bana...ngoja aje mtakutana wenyewe....then mkioana mtakuwa couple nzuri..wanaogechana ndo wanaopendana....(lizyy sor jst jok....manake mhh)

Hahahhah...WARIDI unataka tuuane?!
 
kazi ni kazi wajameni! mskimbie kazi zenu, hivi nani anajua kwamba Paw na umod wake juzi nilimkuta anapiga polish viatu! mokas anachaji jero, tough buti anachaji shiling saba! kulaleki!
Embu kwenda zako huko....kazi gani ya kumalizia mtaji kuwakopesheni wachovu wa mtaa?!
 
Back
Top Bottom