kazi za vyombo vya habari vya tanzania vinaridhisha?

Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,071
1,363
wadau nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya namna vyombo vyetu vya habari vinavyofanya kazi zake hususani luninga/TVs. sote tunajua mmiliki wa vyombo/chombo cha habari ana athari kubwa namna chombo/vyombo vyake vinavyofanya kazi zake. lje huku kwetu tanzania breaking news huwa haziwezekani au ni nini ni matukio mengi yanaendelea na ni muhimu lakini hayaoneshwi hadi wakati wa taarifa za habari ambapo inakuwa tayari imepitwa na wakati. si hilo tu bali pia baadhi ya taarifa huwa hazioneshwi kabisa kisa eti zitachochea mambo fulani fulani.mfano mafuriko ya huko arusha, vurugu za vyuo mbalimbali,kuungua kwa majengo makubwa maandamano, mapigano ,vurugu n k ni vitu ambacho tunahitaji kuhabarishwa on time kama wafanyavyo vyombo vya wenzetu au kuonesha habari live hadi uombe ruhusa sehemu nisaidieni wadau kunielimisha ila mimi siridhiki na utendaji wa upashaji habari wa vyombo vyetu sijui nyie mnliona vp hili?
 
Back
Top Bottom