kazi za moyo

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Toka naanza kupata
ufahamu, moyo
umekuwa ukihusishwa
na mambo mengi kama
nilivyoyaoredhesha hapo
juu. Nilipoenda shule
katika somo la biologia
ni nikajifunza kwamba
kazi ya moyo ni ku-pump
damu safi kwenda
sehemu mbali mbali za
mwili, pia damu chafu
kuifanya ikasafishwe
kwenye kibofu, ini na
mapafu...moyo hufanya
hayo yote..nimekaa
nimefikiri na
nimeshindwa kujua
uhusiano kati ya moyo
na kupenda, moyo na
kutamani, moyo na hisia,
moyo na kuumia, moyo
na kuridhika>>wengine
wakatuimbia>ukweli wa
moyo utaujua
ukipenda>>, Je kuna huhusika wa
moyo katika haya
mambo ambayo ubongo/
akili ndiyo inayohusika?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom