Kazi za kujitolea: Hii imekaaje?

Mar 1, 2011
20
1
Naomba nifahamishwe kuhusu kazi za kujitolea katika mashirika na makampuni mbalimbali.
Kuna wengine wanalipa Nauli na Chakula cha mchana,
wengine nauli tu na
wengine hawamlipi chochote huyu anayejitolea.
Hii imekaaje? Namaanisha ni utaratibu sa ofisi yenyewe au maamuzi binafsi ya bosi au kwenye sheria za kazi za nchi yetu ipoje?
Sijui, naomba mnijuze.
 
Tatizo Tanzania kuna ajenda za siri hata kwa yule anayeomba kazi ya "kujitolea".

Utaona mtu anaomba "internship","volunteering" au hata "practical".Halafu hapo hapo anategemea alipwe fedha akisahau kuwa kupewa fursa pekee ni msaada tosha.Kwa kujitolea, kujishikiza etc, mtu anapata uzoefu.

Inashauriwa muombaji ajihakikishie kwanza anachoomba ndicho atakachopata na asijishangaze mwenyewe hapo baadae kwa kutokupata alichoficha kama matarajio!

Kwa upande wa wenye mashirika, kuna sera tofauti baina ya shirika/tasis.Kuna taasisi zenye kutoa kiwango kidogo cha "posho" hasa kama mtu anatoka mbali ili ajikimu - usafiri na chakula.Taasis nyingine hazina utaratibu kama huo.
 
  • Thanks
Reactions: mja
Tatizo Tanzania kuna ajenda za siri hata kwa yule anayeomba kazi ya "kujitolea".Utaona mtu anaomba "internship","volunteering" au hata "practical".Halafu hapo hapo anategemea alipwe fedha akisahau kuwa kupewa fursa pekee ni msaada tosha.Kwa kujitolea, kujishikiza etc, mtu anapata uzoefu.Inashauriwa muombaji ajihakikishie kwanza anachoomba ndicho atakachopata na asijishangaze mwenyewe hapo baadae kwa kutokupata alichoficha kama matarajio!Kwa upande wa wenye mashirika, kuna sera tofauti baina ya shirika/tasis.Kuna taasisi zenye kutoa kiwango kidogo cha "posho" hasa kama mtu anatoka mbali ili ajikimu - usafiri na chakula.Taasis nyingine hazina utaratibu kama huo.
jaman hiv hizo kazi za kujitolea zenyewe zipo? Mana nimejaribu kuomba wee lakin wapi,mwenye kujua wap naweza kujitolea au internship katika mambo ya food and nutrition,hiv/aids,pmtct,maternal and child,lakin pia hata mambo ya library mana nina uzoefu wa miaka 3 katika fani ya library hivyo naweza kumudu majukumu vizuri,hata kufundisha secondary pia masomo ya sayansi,niPM tafadhal
 
ninavyoelewa mimi mara nyingi watu wanojitolea either wanataka kupata uzoefu au wanahitaji kutoa msaada wa kitu fulani (i stand to be corrected), sasa wewe unahitaji kazi ya kujitolea ya nini wakati una uzoefu wa miaka 3 na umaweza kumudu majukumu vizuri????
 
wewe mja,hapo kwa upande wa library ndio nina uzoefu wa miaka 3 na kufundisha uzoefu wa mwaka 1,ila hapo kwenye food and nutrition etc ndio sina uzoefu zaid ya field tu,umenipata mja?
 
wewe unataka kujitolea hutaki kulipwa?? umesema unauweza kufundisha shule za Lowasa za kata hazina walimu wewe unangangania kujitolea bure wahi tandahimba, nkasi, maswa nk shule hazina walimu.
 
Back
Top Bottom