kazi za ict na computer plz hizi hapa

ok walioapply hii kazi kma mmewaona wajinga basi leo j3 na j4 wataitwa kwa interview na watajionea ni kampuni kubwa kwa kuanzia maisha ambayo itawasukuma kupata kazi nyengine badae
 
kijana thesolomon kama kwel upo serious hebu nitumie cv yako humu matemba87@yahoo.com
hizo data entry nimeshafanya saaana
Tunatafuta vijana wa kufanya kazi katika kitengo kimoja wapo cha kampuni yetu .

awe na degree ya ict au computer or advanced diploma but even diploma can send their applications. but salary is around 25o,000/ for succesful candidates. we need 3 guys who will be under probation period of 6 months.

ni sehemu nzuri kwa kuanzia kazi na kupata uzoefu ni kampuni kubwa na yenye kujuilikana international japo kuwa mshahara sio mzuri sana ila unaweza kupanda kulingana na uwezo wako wa kujituma .

mazingira mazuri ya kazi za ofisini wewe na computer yako .

tumeni cv na certificates kwa email hii hapa as soon as possible thesuley@yahoo.com,interview will be done on monday 27 feb and tuesday 28 feb buy you will be notified of where about if you will be shortlisted

kila la kheri
 
Kaka nimemdirect m2 kaitwa kaambiwa ni knight support amekwenda leo asubuh kaambiwa hakuna nafas hzo kaambiwa asubirie waitrack hyo namba.Je kwa nini umefanya hvo bos
 
Aache mambo ya ajabu hapo kazi itafanyikaje wakati fedha anayolipwa mtu ni ndogo
haimtoshi hata undergraduate aliyeko chuuoni nini graduate wa mtaani Acheni uzandiki
na ujinga muwe mnaangalia matangazo mnayoleta humu.
 
of cause hatukupenda kuweka jina kwa sasa ila kampuni ipo Dar esalaam na mwenye interest atume application zake ,is international company dealing with security however the job is office job dealing with data entry and other tasks,is a good place to gain your experience.

nyie wapuuzi kweli ndo mnaoshusha thamani za wenzenu yaani mtu wa IT akae chuoni for 3yrs or 4 yrs halafu mumpe kazi ya data entry??????????? kwa mshahara wa laki 2 na nusu.........si mkachukue watu wa form 4 waliomaliza shule mje muwape hizo kazi wakati wanasubiri kwenda form 5 au form 6 waliomaliza juzi..acheni dharau bwana hiyo kazi haina haja ya kuhitaji mtu wa IT....halaf eti ni kampuni kubwa mmmmhhhh
nina wasiwasi sana
 
ok walioapply hii kazi kma mmewaona wajinga basi leo j3 na j4 wataitwa kwa interview na watajionea ni kampuni kubwa kwa kuanzia maisha ambayo itawasukuma kupata kazi nyengine badae

hahhaha hhhahah kwa hiyo hiyo sehemu hata wewe unajua sio ya kukaa ni ya kuanzia tu........
ona aibu kaka wewe mwenyewe tu unashidwa kuiuza hiyo kampuni...nawapa pole sana waliokuamini wewe
 
ninA A'level certificate so kamA kunA nafasi za o'level au A'level nishtue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom