Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

pamoja sana kwa kumkubali kamanda mkombozi DR wa ukweli hakika pia nmkubali sana, much respect mkuu popote hapo ulipo
 
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.

Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na kubanwa na muda.

Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku nyingine ya mapambano.

Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa yote ya eneo husika.

Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na Dr Slaa katika operesheni okoa kusini.

Huyo ndio charismatic cum inspirational leader. Mpe report hata kama ni ya unkubwa gani na ina msamiati wa aina gani au majedwari ya aina gani ataisoma bila kusinzia mpaka aimalize na penye makosa atapaona na penye point atapaona. Huwezi kumlinganisha na wale wengine wasioweza kusoma reports bali wanaishia kwenye executive summaries na pengine hata hizo hazisomi. Bravo the Predident of 2015
 
Gari jipya la kutuongoza tunakoelekea from 2015 ni T2015CDM, DEREVA NI DR. SLAA. TUTAFIKA, CDM IDUMU NA MAKAMANDA WOTE WADUMU.
 
Huyo ndio charismatic cum inspirational leader. Mpe report hata kama ni ya unkubwa gani na ina msamiati wa aina gani au majedwari ya aina gani ataisoma bila kusinzia mpaka aimalize na penye makosa atapaona na penye point atapaona. Huwezi kumlinganisha na wale wengine wasioweza kusoma reports bali wanaishia kwenye executive summaries na pengine hata hizo hazisomi. Bravo the Predident of 2015

Hakika anakubalika
 
Mola amjalie afya njema na mafanikio ktk harakati za kuwakomboa viumbe wa mola toka ktk serikali inayodhamini ufisadi kuliko wananchi wake!
Amen
 
mzee wetu apunzike bado anahitajika sana ktk ukombozi wa taifa letu
apangiwe ratiba walau kwa siku ahutumie mara moja na pia namwona afya yake sio njema sana
apunzike vya kutosha wapo watu kama Lisu, Mbowe,Zito,Lame nk wawe wanapokezana
 
wapumbavu ni wengi ktk nchi ya tanzania ndo maana wengi hawana ajira na ht km hajasoma kuna kazi nyingi ktk nchi yetu makampuni makubwa yamewekeza tz zina uwezo wa kuwapa vijana kazi nyingi tu ambazo si proffessional..lkn kulingana na siasa za washenzi walioingilia nchi inakua ngumu sn kwa watu ambao hawana elimu ni ngumu kupata ajira..sasa wanaosema chadema haina maana wataishi masikin daima na wanaowathamin wanatajirika:clap2:
 
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.

Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na kubanwa na muda.

Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku nyingine ya mapambano.

Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa yote ya eneo husika.

Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na Dr Slaa katika operesheni okoa kusini.

Asante kwa taarifa kuhusu kamanda but issue nyingine ziwe za siri kwa makamanda wa karibu pekee kwani huweza kunufaisha maadui mbinu za chama haina faida tujue wote kwa kila kinachotendeka bali outcome ndiyo inabamba.
 
Tunachelewa kumkabidhi Ikulu arekebishe Nchi, anyooshe mapito, asimameshe misingi ya uchumi shirikishi upya, baada ya Mwalimu, HAKIKA NI MKOMBOZI TOKA KWA MUNGU.
 
Back
Top Bottom