Watu kama slaa ndio wanaotakiwa cdm.wanashiriki na kujitoa kwa moyo wote kwenye kukijenga chama.hutawahi kuwasikia hata sikumoja wanamalumbano ndani ya chama.ndio viongozi wa kweli jamani.tofauti na wale jamaa wengine ambao wakati akina slaa wanashinda njaa kwa kukosa muda wa kula kutokana na kazi za uenezi za kichama,wao wako busy kwenye mitandao ya twitter,facebook na Blogs kibao wakijisifia na kuusaka uenyekiti wa chama au nafasi ya kugombea uraisi.wako busy kutuma watu wakuwatumia kuwapigia debe.wenzao wanajenga chama wakati wao wanavizia chama kinakua then wao ndio waongoze na kupata credits wasizostahili.kwa anayefikiria ni lazima uwe mwenyekiti wa chama ili upiganie wananchi au ujenge chama ni mjinga,mzembe na mvivu.wako kutaka uongozi tu ili wazidi kujinufaisha wenyewe.wanajidai na kigezo cha demokrasia as if wanaelewa maana kamili ya demokrasia.DEMOCRACY my ass!kwa wao demokrasia inatumika pale tu wanapotaka kugombea uongozi ndani ya chama.chadema ingekuwa haina viongozi strong kama mbowe na slaa nawahakikishieni kwamba kisingekuwepo na nguvu mpaka sasahivi.viongozi walio loyal na chama wanaonekana wazi kabisa,jinsi wanavyoshiriki kikamilifu kila hatua kwenye kukiimarisha chama.kila leo wako kwenye kazi za kichama.huwezi pia kuwasikia wakianzisha malumbano ya kijinga ndani ya chama.viongozi wakuogopwa ni wale ambao wamejitenga na wenzao,hawashiriki kwa dhati shughuli za kichama,kila leo wanamatatizo na viongozi wenzao,kila leo kazi yao ni kulalamika kwamba wanaonewa,wako busy kwenye mitandao kupost topics za kujisifu wao tu na wala sio chama chao.always wanajifanya wao ndio bora zaidikuliko wengine,hawana team work kwasababu ni wabinafsi.tukiwa na mwenyekiti wa chama au raisi kama hawa watatusaidia nini?be blessed!