Kazi za Chuo kikuu SAUT..

Ahsante mkuu kwa taarifa. Isipokuwa kwa sifa wanazohitaji za waombaji kuwa Ma-Professor na kwamba wenye Masters (wanaweza kufikiriwa) itakuwa ngumu kuwapata kwani wako wachache katika nchi hii.
 
Deadline line?

nafikiri hapo kwenye bold ulikuwa unamaanisha "lini" au siyo?

ila kulingana na sifa wanazotaka, nadhani hakuna deadline. unaweza ku-apply muda wowote unaotaka. mimi nita-apply ingawa nitakuwa available baadaye kidogo
 
Back
Top Bottom