Kazi ya Wassira ni ipi?

Nikiwa mdogo nilipelekwa Zoo moja iitwa Mount Meru. Kuna mnyama mmoja aliitwa Miller naskia walimrudisha Gombe! nina wasiwasi kuwa alitoroka akiwa njiani! Huyu alikuwa ukimpa soda anakunywa, ukimpa sigara anavuta! Ukimpa ndizi mbivu anakusujudia kabisa. Tuchunguze kwanza tujue alikoishia Mzee Miller jamani ndo tuendelee!
 
nadhani milla bado atakuwa gombe kwani kwa namna ulivyomuelezea anaonekana mpole
 
Back
Top Bottom