Kazi ya Vice Prezdaa ni nini?

jamani kaacheni kapumzike maana ni kazee sana ila kali badili miaka kipindi kana kwenda marekani kusudi kasikose scholarship cozo kamezaliwa 1936 na kanasema eti 1942.Maana mie babu yangu anamiaka 80..mawazo yake ni primitive afu siunakumbuka enzi hizo wazungu ndio walikuwa wanakata utepe sasa analipizia kabla hajafa.

Afu wenzetu hawa nao sijui vipi! Yaani mi nakaonaga kapo kapo tu, pointi hakana afu upande huo wa nchi kana influence kinoma! Wazenji bana!
 
Ikiwa kama jambo lolote hata linalohusu utendaji wa wizara moja basi lazima rais ndo atoe jibu; ivi job description ya makamu wa rais inasemaje? Kimsing mbona kama hahitajiki?

Kazi yake ni kuweka mawe ya msingi na kuja arusha kufungua matawi ya benki.
 
Naipenda hii kazi jamani, yaani hakuna sehem utatakiwa kutoa tamko we ni kuzindua2 hakuna wa kulalamikia.
Ndoto yangu ni kuwa Vice prezda, ngoja EL aingia state house
 
Back
Top Bottom