Kazi ya ultra sound na madhara yake

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
Wataalam naomba mnijuze umuhimu wa ultra sound kwa wenye mimba na side effects zake kama zipo.







NEVER HIDE YOUR IGNORANCE
 
Mimi sio mtaalamu ila ninavyofaham ultra sound inakusaidia kujua hatua za ukuaji za mtoto alieko tumboni kuanzia umri wa mimba,uzito wa mtoto ,viungo na hata jinsia ya mtoto.

Hasara sijui ni zipi.
 
Back
Top Bottom