Kazi ya TAKUKURU

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,086
Taratibu,
Vigezo,
Weledi,
Uwezo kiutendaji Na mengie
Ya kuzingatia ILI kujinga na HII taasisi vinahitajika.

Mimi NI mpinga rushwa Na mchukia rushwa mkubwa sana.

Nijuzeni utaratibu wa kujiunga kufanya KAZI TAKUKURU,
ILI tukomeshe TABIA ya rushwa.

AHSANTENI.
 
Wapi ulifanya harakati usizunguke mkuu.....???
Unataka ajira upige pesa au utetee haki????
 
Mleta mada...kama kweli unachikia rushwa waweza endelea hivyo, na sio lazima hadi uajiriwe...kila raia mwema anawajibika kuisaidia serikali yake...
 
Mleta mada...kama kweli unachikia rushwa waweza endelea hivyo, na sio lazima hadi uajiriwe...kila raia mwema anawajibika kuisaidia serikali yake...

Nikiwa KWENYE taasisi nitakuwa Na nafasi KUBWA ya kuisaidia jamii kwa kiasi kikubwa JUU ya mapambano DHIDI ya rushwa.
 
Back
Top Bottom