KAZI YA Kusambaza Viperushi (Distribution of Brochures/Fliers)

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
Tunahitaj. vijana wanao veza ku sambaza viperushi.
AU
Kama kampuni wanayo fanya kazi hii.

Plz message me !
 
Ninyi ni kina nani?
Kusambaza maeneo gani ya Tanzania?
Kusambaza kwa njia gani?
Kusambaza kwa aina mfumo upi wa malipo (% of sales au)?
Mnahitaji vijana wangapi?
Naomba ujibu hayo maswali kisha tupate mwanga.
 
Tunahitaj. vijana wanao veza ku sambaza viperushi.
AU
Kama kampuni wanayo fanya kazi hii.

Plz message me !
Ninavijana wangu wanafanya michezo ya baiskeli ni njia pekee na nzuri ya usambazaji vipeperushi katika mazingira yoyote,ufanisi na uzoefu wa hali ya juu, ni vijana wadogo wachapakazi na wenye nguvu.

Kama kweli unahitaji ufanisi kwenye kazi yako nakushauri uwatumie hawa vijana.
maranyingi huwa wanatumika na makampuni makubwa ya vinywaji na simu

Kwa mawasiliano

Email titusjulius89@gmail.com
Simu 0712494761 Mrk 8.jpg Mrk 7.jpg View attachment 64180 Mrko 3.jpg WAPO WANNE
 
Back
Top Bottom