kazi ya kufundisha

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
natafuta kazi ya kufundisha iwe ya muda au ya kudumu nimesomea digrii ya elimu (BED psychology)
 
Hvi c nilickia nyie wa2 wa education mnaajiriwa direct,au na nyie hamna tofaut na ce wa bcom?
 
natafuta kazi ya kufundisha iwe ya muda au ya kudumu nimesomea digrii ya elimu (BED psychology) mawasiano ni 0769431643
Sio lazima uajiriwe Mkuu! Njo kesho Dagoni (bandari ya wavuvi wadogo) msasani beach nyuma ya Ofisi za Tanesco nikufundishe uvuvi huku ukisubiri hiyo ajira ya kisomo.
 
Hujasema uko wapi mzee wa BED! Utaimiss Ng'ong'ona!
Mkuu mwenyewe nimeanza kukumisi huko,then hii gvt ya ajabu kweli yaani wanafunzi wanataabika hakuna walimu sisi tumemaliza Udom juzi tupo tu kitaa tuu any way ngoja tuone itakuaje
 
Hvi c nilickia nyie wa2 wa education mnaajiriwa direct,au na nyie hamna tofaut na ce wa bcom?
Mkuu huu ni usaini tuu hakuna kitu kama hicho,sijui wataajili lini then mwenye taarifa wanaajili lini atupe news wajameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom