he he he hii sasa imepitiliza.ina maana kuna vichwa vinakaa na kutunga haya mazoezi au?
Aisee ukifanya mchezo na kazi ya Geshi ra Porisi adhabu zake ndo kama hizi...Chezea Geshi wewe!
Hizi kazi nyingine...
hawa tabia yao ni ya hovyo sana, hata akikukuta na kosa krb na mtaani kwenu anaweza kukuamrisha adhabu kama hizi
Hizi kazi nyingine...
hahahah hiyo inaitwa carry the global kama mlikua hamfahamu:alien:
Yaani wangekukamata wakati unachukua hiyo picha ungeogea mche mzima wasabuni mpaka uishe....Aisee ukifanya mchezo na kazi ya Geshi ra Porisi adhabu zake ndo kama hizi...Chezea Geshi wewe!
Haya mazoezi tuwape Taifa stars siku wakifungwa kijinga....Hayo ni mazoezi ya kawaida.
Yaani wangekukamata wakati unachukua hiyo picha ungeogea mche mzima wasabuni mpaka uishe....