Kazi ya January Makamba alipokuwa Msaidizi wa Rais

KIJIGOJUNIOR

Member
Mar 5, 2011
27
17
Wana JF,

Jana nilipokuwa nimetoka kwa ajili ya chakula cha mchana,nikiwa maeneo ya Survey nakula,nilikaa jirani na majamaa wawili. Kwa hakika nilikuwa naweza kusikia mazungumzo yao. Aliyekuwa mzungumzaji mkuu alikuwa akimwambia mwenzake kuwa anamfahamu sana January Makamba kwani amekuwa rafiki yake siku nyingi, na muda wote ambao amefanya kazi Ikulu alikuwa Msaidizi wa Rais na kazi yake kuu ilikuwa ni kugawa Business Card za Mkuu wa Kaya kwa kila aliyepata kuingia Ikulu. Je, hii ni kweli? Kuna mtu anajua kwa kina alichokuwa akikifanya January akiwa Ikulu? Kazi yake hasa ilikuwa nini?

Naomba kujulishwa
 
Ninasikia alikuwa Karani wa Raisi JK, nakumbuka hata ile speech ya aliyowahutubia wazeee wa Dar es salaam wakawa wanamshangilia kuhusu wafanyakazi yeye ndiye aliiandika.
 
Siyo kuhakikisha kuwa hotuba anayosoma Rais ni ile inayomfurahisha Mafisadi!
 
hizo ni story za mgahawani tu , kwa hiyo unataka kusema from kugawa card hadi ubunge?
 
Kazi yake ilikuwa ni kupokea rushwa kwa mafisadi wakumbwa ili waweze kuwekwa kwenye appointment ya kuonana na Mkulu. Wahindi walikuwa wanampa hadi Mil 5, kuwezeshwa.
 
Huwezi ukawa mtu mwenye akili zako ukaandika thread kama hii, yani ukisikia tu kitu uje kuandika JF, mbona wewe tumesikia wanaku.....hatujaandika hapa.
 
Huwezi ukawa mtu mwenye akili zako ukaandika thread kama hii, yani ukisikia tu kitu uje kuandika JF, mbona wewe tumesikia wanaku.....hatujaandika hapa.

You have all the rights to ignore threads that are disturbing you! Sioni tofauti na aliyeanzisha thread na wewe
 
Huwezi ukawa mtu mwenye akili zako ukaandika thread kama hii, yani ukisikia tu kitu uje kuandika JF, mbona wewe tumesikia wanaku.....hatujaandika hapa.

Ni hapo kwenye red ndio kumeondoa tofauti yako na ya mleta thread...ulianza vizuri nikajua mna tofauti lakini ulipomalizia thread yako aah siyo sahihi mzee...muelimishe tu mtoa mada,wengi wanakurupuka lakini kwa maneno ya kashfa kama uliyotoa sidhani kama itakuwa ina mssada wowote kwake.
 
This is a forum for great thinkers jamani. Let discuss constructive issues and not individual, as I dont see how this thread can help our country to move an inch towards development.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom