Kazi ya Graphic Designer

De Caprion

Member
Sep 24, 2012
10
0
Wana JF, natafuta kazi ya Graphic Designer, Nina Degree na Uzoefu takiribani miaka 4, mshahara mnono, Adobe indesign, Photoshop na Illustrator, nazipiga si mchezo, Magazine Experience, Package designing, Branding, ki fupi all type of Print Designing, sio lelemama, Nina Portfolio, ila siwezi kuipost, mwenye kujua kampuni yeyote, naombeni msaada tutani, na mwenye kutaka portfolio, let me know.
Passion for Grapgics and an eye to details.
 
Kujiajiri nako mtaji, kaka, ndo mana lazima uajiriwe alafu baadae uende ukajiajiri baada ya kupata mtaji. kama unao nipatie, nipige kazi
 
Wana JF, natafuta kazi ya Graphic Designer, Nina Degree na Uzoefu takiribani miaka 4, mshahara mnono, Adobe indesign, Photoshop na Illustrator, nazipiga si mchezo, Magazine Experience, Package designing, Branding, ki fupi all type of Print Designing, sio lelemama, Nina Portfolio, ila siwezi kuipost, mwenye kujua kampuni yeyote, naombeni msaada tutani, na mwenye kutaka portfolio, let me know.
Passion for Grapgics and an eye to details.

Mungu naye kaumba watu wa ajabu sana. Sasa hapo kwenye RED ni sehemu ya maombi yako au unaelezea jinsi ulivyokuwa unalipwa hapo kabla?
 
Dah jaribu hata kuweka product zako ili watu waone jinsi watavyo kusaidia
 
Nashukuru kwa ushauri, ngoja nitupie baadhi ya kazi, wadau waone REDDS TEASE.jpg
 
Mnhhhh..unatisha...but...hapo kwenye mshahara mnono ndio napata wasiwasi .... Unasema umefanya kazi miaka minne?....hapo bongo au kwa madiba?...anyway unaweza kupeleka cv zako na portifolio zako kwa makampuni ya designing ila uwaambie kuwa utafanya kazi kama freelance ili upate kazi nyingi na kuweza kulipwa mshahara mnono.
 
Back
Top Bottom