Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,675
- 5,022
Mkullo na Ndullo ndiyo wababaishaji. Lakini bado ni aibu kuona Professional Banker mzima hajui tofauti ya Monetary na Fiscal. Ni hatari sana kwani baada ya miaka michache mtu kama huyu ndiyo unakuta yupo most qualified kuwa Gavana au Waziri wa Fedha. By the way, Hazina ipo chini ya MoF na siyo BoT.