Kazi Wizara ya Nishati na Madini

Yahya

Member
May 24, 2009
7
0
Haya wadau nafasi hizo wenye sifa tujitose hapo.
 
Attachments

  • EMPLOYMENT_OPPORTUNITIES[1].pdf
    204.3 KB · Views: 2,046
Wazee wamenyimwa kuongezewa muda nini, mbona nafasi nyingi namna hii.!!!!

nyingi ukimaanisha ni zaidi ya moja au?
mkuuu unajua idadi ya watanzania waliosoma wapo mtaani wanauza machungwa na vyeti vyao au, izo kazi ni sehemu kidogo sana, hazimalizi hata watoto wa wakubwa ambao mpaka sa ivi walikuwa wanazisubiria,
 
we andika barua tuma tu wakati huo ukiendelea kuuza machungwa yako. kazi haziji kama mkungu wa ndizi unavyodondoka...ipo siku na wewe utatoka tu....
 
mkuu ongera sana kwa kutujulisha wanachama wenzio wa JF kwa hizi vacancies tutajaribu bahati maana hizi nafasi za serikarin kuzipata isssue yaani hata kama unasifa!nitakupa mfano halisi ambao umetukuta vijana kama watatu ambao tumemaliza mwaka jana chuo kikuu cha Dar es salaam katikafani ya jiolojia(Geology) kam miezi 3 imepita Chuo Kikuu cha Dodoma kilitangaza nafasi za tutors na wakataka at least mtu awe na GPA ya 3.8 or above lakini cha kushangaza tuliomba wengi na majina walioitwa kwenye interview hawana sifa hiyo na tukaachwa ambao tulifanya vzr zaidi ya hiyo grade!kwani wote waliotwa tunawafahamu na walikuwa hawajafikisha hiyo grade,je kwa mtindo huu tutafika hasa ukizingatia ni sehemu nyeti kama hii ambayo tunategema kuzalisha wasomi wakalete ushindani ktk ajira internationally?
 
mkuu ongera sana kwa kutujulisha wanachama wenzio wa jf kwa hizi vacancies tutajaribu bahati maana hizi nafasi za serikarin kuzipata isssue yaani hata kama unasifa!nitakupa mfano halisi ambao umetukuta vijana kama watatu ambao tumemaliza mwaka jana chuo kikuu cha dar es salaam katikafani ya jiolojia(geology) kam miezi 3 imepita chuo kikuu cha dodoma kilitangaza nafasi za tutors na wakataka at least mtu awe na gpa ya 3.8 or above lakini cha kushangaza tuliomba wengi na majina walioitwa kwenye interview hawana sifa hiyo na tukaachwa ambao tulifanya vzr zaidi ya hiyo grade!kwani wote waliotwa tunawafahamu na walikuwa hawajafikisha hiyo grade,je kwa mtindo huu tutafika hasa ukizingatia ni sehemu nyeti kama hii ambayo tunategema kuzalisha wasomi wakalete ushindani ktk ajira internationally?
selection bodies are totally corrupt
 
mkuu ongera sana kwa kutujulisha wanachama wenzio wa JF kwa hizi vacancies tutajaribu bahati maana hizi nafasi za serikarin kuzipata isssue yaani hata kama unasifa!nitakupa mfano halisi ambao umetukuta vijana kama watatu ambao tumemaliza mwaka jana chuo kikuu cha Dar es salaam katikafani ya jiolojia(Geology) kam miezi 3 imepita Chuo Kikuu cha Dodoma kilitangaza nafasi za tutors na wakataka at least mtu awe na GPA ya 3.8 or above lakini cha kushangaza tuliomba wengi na majina walioitwa kwenye interview hawana sifa hiyo na tukaachwa ambao tulifanya vzr zaidi ya hiyo grade!kwani wote waliotwa tunawafahamu na walikuwa hawajafikisha hiyo grade,je kwa mtindo huu tutafika hasa ukizingatia ni sehemu nyeti kama hii ambayo tunategema kuzalisha wasomi wakalete ushindani ktk ajira internationally?

MMlaponi
Ni kweli kabisa huwa kuna matatizo kwenye some selection boards, especially pale wanapochujwa watu waliofanya vizuri hata bila kuwaita kwenye interviews.

Naomba nitoe mfano wa tukio ambalo recently lilitokea kwenye Iinterview Moja ambayo nilihusishwa.
Alikuwa anatakiwa mtu was IT Support na wakawa wame select watu watatu wa mwisho, mmoja alikuwa na Degree nzuri Computer Science and Electronics ana na GPA ya 3.9, mwingine alikuwa amemaliza Dar Tech, na mwingine alimaliza somwhere.
Sasa wote mle ndani na Head Wa Department ya IT alitaka kumchukuwa huyu kijana mwenye GPA ya 3.9, was young fresh from school na very sharp.
Tatizo likaja kwenye mawasiliano, dogo alikuwa anashindwa kabisa kujieleza lakini he was right in his replies.

Sasa kwa sababu ilikuwa anatakiwa ku support Site za mining ambazo ni lazima akutane na watu wa mataifa mbali mbali ikaonekana ingekuwa tatizo, hivyo akatoswa.
Funzo:
- sometime mtu anawea kuwa hata CV kaandaa kienyeji sana..
-kama tulivyoona, sometime performance kwenye interview inakuwa si ya kuridhisha pamoja na kuwa na grade nzuri etc..
 
nasiye vijeba hatutakiwi serikalini. mwisho umri miaka 45!!

pamoja na hayo, swala la UJUZI halikupewa uzito wowote. ni 'qualifications' na vyeti vyako tu.
 
Back
Top Bottom