Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,985
- 20,263
Kile kilichoagizwa na magogoni tumekikamilisha na sasa ni safari ya Dar es Salaam!
Kazi ilikuwa ni moja tu, ni Kabila kushinda uchaguzi na sisi tumetekeleza kwa vitendo!
Bila shaka wengi mlikuwa mnapata updates kwa wanajf waliokuwa hapa kongo!
Nikifika dar nakutulia nitawapa kilichojili A-Z mpaka Kabila kuendelea kushika hatamu!