Kazi nzuri Ezekia Wenje!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,707
Kwanza kauli hii ni kwa niaba ya sisi vijana 20, najua wapo wengine pia.....

Napenda kukupongeza kwa juhudi yako wewe pamoja na wabunge wengine kwa kuipigania haki yetu watu wa hali duni, tunautambua na tunaiona michango yenu wabunge wetu, napenda kuwatia moyo na tunawaambia kuwa tupo nyuma yenu, msiogope, kazi ya ukombozi sio ndogo endeleeni nasi tupo nyuma yenu no matter what!

Wanje ni moto wa kuotea mbali

naikumbuka kauli yake hii 'ccm wasiwasumbue polisi wanapochukua rushwa maana wanawaiga mawaziri wanaopia deal, ccm izuie kwanza mawaziri kupiga dili ndio iiseme polisi kwa kula rushwa'

Hoja inaelea hewani tu! Pongezi hasa ya nini haieleweke! Thread za asubuhi kutoka usingizini zina problem!

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!
kwanza wewe sio mpiga kura wa Nyamagana, halafu anayesababisha fujo bungeni ni CCM na Wenyeviti.Mbona hoja ya dharura ya Makamba ilikubalika na hata Wenje alipotolewa wapo wabunge wa CCM waliopiga kelele atoke na hawakufukuzwa. Wewe wa wapi bwana?

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

Mbunge analeta maendeleo gani!! tukumbushe majukumu yake.

Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!

Nilijua kuna mradi kaufanikisha jimboni?? Kumbe n pongez za kuongea vizuri bungeni.

Mkuu samahani,
Upindishaji wa kanuni Bungnei kwa maslahi ya ccm ndo ni sehemu ya chanzo, tusimtwishe Wenje mzigo asiostahili.
juzi kati nilipita kuelekea kitunda (pale relini-matembele ya kwanza if am not mistaken) niliona ofisi ya CDM
hongera Aweda nadhani pana mkono wako

Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!
Did you know that Palestinian refugees are the product of their own attempt of destroying Israel during six day war in June, 1967 where Israel scored a humiliating defeat against its Arab neighbours?

Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!

Do ritz, nimekuona live jinsi ulivyo huna tofouti na Avatar yako,,We kazi yako ni kutishia wapenda mabadiliko ,,NYAU" ili wanyamaze we uendelee na hako kaposho ka msimu unachopewa na wanamagamba.

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!
Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.
Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

Hivi unamjua mleta fujo wewe? Ni ccm.

Do ritz, nimekuona live jinsi ulivyo huna tofouti na Avatar yako,,We kazi yako ni kutishia wapenda mabadiliko ,,NYAU" ili wanyamaze we uendelee na hako kaposho ka msimu unachopewa na wanamagamba.

kuna jinsi ya kuignore watu kama huyo ritz, unamweka kwenye ignore list unakua huoni kabisa post zake manake anaweza kukusababishia ban

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!

Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.

Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

Hujui kitu wewe!Ni bora ukauliza!

Wenje hajafanya fujo Bungeni, anachotetea (yeye na Wabunge wengini wa CHADEMA) ni kufuatwa kwa taratibu za Bunge, na kama ni matumizi ya Kanuni basi zitumike kwa wote, sio kuwabana Wabunge wa CHADEMA peke yake! Maendeleo hayaletwi kwa mwaka mmoja sehemu ambayo imeharibwa kwa takribani miaka hamsini...

Back
Top Bottom