KML
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 861
- 133
We Kilaunja, sema jingine. usijekosa kazi unasingizia watu walikunyima ushirikiano.2weken kwa njia za simu mtusaidie
Mimi sina hakika na namna ya kutuma maombi yenyewe. Kama yamejumuishwa yoote kwa pamoja, itajulikanaje unaomba mkoa au halmashauri au taasisi ipi in particular?
Watoto wa siku hizi bwana!!!! Eti anachagua Mkoa wakati hajui kama atapata au laOmba kazi wewe! Kazi hujapata unaanza kuchagua mkoa?
Omba kazi wewe! Kazi hujapata unaanza kuchagua mkoa?