'Kazi na dawa' - Kanda Bongo Man

Nipo nipo babue.
Hapa mauno ndo mpang mzima,sio kiuno kigumu kama umepakata zege.
ha,ha,ha....hapo kwenye red umenikumbusha nikiwa kibaruani napandisha ndoo ya zege ghorofa ya pili huwa natia huruma kama nimenyimwa nanii
 
Kati ya hawa yupi anamkaribia huyo mdada wa bongo man kwa kukizungusha kiuno?:A S 12:

sio kukaribia tu,yaani hao niliokutajia ni kwamba wanamfunika huyo dada,najua huamin we jarbu ku-pm mmoja ndio utaamin ninachokisema,tena kwa Madame B ndio utakataa kabisa utadhania si mtu anazungusha kiuno unaweza dhani ni computer,chezeya chitchiter lady nin?
 
Last edited by a moderator:

Baelezee baelezee huyo,
yani hapa ni full nyonga.
Hao kanga moko hawaoni ndani.
Hv wakati ndio sasa ulishaganiona Twanga Pepeta?
Sikutajii mimi ni nani pale.
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,ha....hapo kwenye red umenikumbusha nikiwa kibaruani napandisha ndoo ya zege ghorofa ya pili huwa natia huruma kama nimenyimwa nanii

Pole sana ila nyie wanaume mna moyo sana.
Pamoja na kufanya kazi za suruba kama hzo,na bado ikifika jioni mnatuhonga kama kawa kama dawa.
 
Baelezee baelezee huyo,
yani hapa ni full nyonga.
Hao kanga moko hawaoni ndani.
Hv wakati ndio sasa ulishaganiona Twanga Pepeta?
Sikutajii mimi ni nani pale.

ha,ha,ha....hapo najua we ni full nyongest,kijana anataka viuno kwanini unamchelewesha.Hapana nilikuona kwenye Kigodolo kule mtaani kwenu kwa mtogole
 
Last edited by a moderator:
Kati ya hawa yupi anamkaribia huyo mdada wa bongo man kwa kukizungusha kiuno?:A S 12:

Wewe nyoosha maneno ! Ulitaka kuuliza kati ya hao wadada walotajwa nani mwenye mauno makali kuzidi wote!
Usiogope we uliza tu!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wewe nyoosha maneno ! Ulitaka kuuliza kati ya hao wadada walotajwa nani mwenye mauno makali kuzidi wote!
Usiogope we uliza tu!

Anazunguuka,
au domo zege,
maana wanaume wa humu chitchat wengi madomo zege majina tunayahifadhi kwa ushahdi zaidi.
 
Nipo nipo babue.
Hapa mauno ndo mpang mzima,sio kiuno kigumu kama umepakata zege.

Huku jamani ni kutotutendea haki sisi wagonjwa wa viuno jamani, Madame B nitafutie dawa basi mwenzio mara ya mwisho kiuno nimekutana nacho mwaka 1994.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom