Kazi kwetu wazazi.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Narudi zangu gheto namkuta mama mwenye nyumba analia kwa uchungu.Nilipomhoji kulikoni,akanijibu,"nilikuwa nataka kukagua madaftari ya huyu binti yangu wa darasa la saba,nikakutana na pakti za vidonge vya uzazi wa mpango". Binti yake ana umri wa miaka 12 na hiyo ilikuwa ni pakti yake ya nane kutumia.Alipohojiwa ni kwanini anatumia vidonge hivyo na ni nani kamfundisha,akajibu,"niliona tangazo kupitia TV na mpenzi wangu ndo alinishawishi nivitumie".Kazi tunayo wazazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom